Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Huo ndiyo ukweliSo mfumo Kristo unarun dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndiyo ukweliSo mfumo Kristo unarun dunia
Nabii Issa Ni nani...?nipe mawili matatu kumhusu.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Na we humfahamu..?
Na wewe katengeneze kalenda yakoUnavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Tukubali tu dunia inatawaliwa na mfumo kristo,kila mtu hata sheikh ukimuuliza tupo karne ya ngapi atakupa jibu kulingana na kalenda ya Papa Gregory
Calenda ya kiislamu ina siku ngapi katika mwaka? Miaka aliyoishi mtume duniani 63 ilihesabiwa kwa kalenda ya kiislamu ama gregorian?Kwanza mtoa mada ni mpumbavu Sana,,,,unajua Kwa nini?
Kwasababu
Umeandika post kana kwamba wewe ni muislamu, kwani ungeandika kama Mgalatia lingekuwa na tatizo gani?
Pili ifahamike kwamba Uislamu sio kwamba hautambui hii kalenda ya kizungu laa hasha inaitambua kwasababu masuala mbali mbali ya kijamii yanaenda kwa kufuata kalenda hiyo.
Ila
Haifai kwetu Sisi kushangilia mwaka mpya huo ingawa tunautambua kuwa upo,naona hapa tumeelewana.
Mwaka mpya WA kiislamu upo na Una miezi Yake mitukufu katika ibada zetu mbali mbali ambayo maarufu miongoni mwenu ni mwezi wa Radhamani huu mnaujua Sana.
Kwahiyo ifahamike kuwa tunautambua mwaka mpya WA kizungu lakini hatupaswi kuushangilia.
Kwanza katika akili ya kawaida Tu,angetakiwa mtu atafakari juu ya miaka yake hapa duniani inapungua kadri mwaka mpya unapo ingia,je amefanya mema mangapi? Ametanguliza nini mbele ya Allah ikiwa Leo au kesho anakufa?
Huo ni mfano tu nimeutoa.
Next time mtoa mada usiridie upumbavu WA kujifanya muislamu kumbe Mgalatia!
We ndio moumbavu,hivi unajua waislamu wengi wanaushangilia huu mwaka wa kizungu,kuutambua haina shida .shida ni kuushangilia,wanaoushangilia akiwemo rais mstaafu mmoja muislam safi wanaelewa maana yake au ni kujitoa akili.soma ueleweKwanza mtoa mada ni mpumbavu Sana,,,,unajua Kwa nini?
Kwasababu
Umeandika post kana kwamba wewe ni muislamu, kwani ungeandika kama Mgalatia lingekuwa na tatizo gani?
Pili ifahamike kwamba Uislamu sio kwamba hautambui hii kalenda ya kizungu laa hasha inaitambua kwasababu masuala mbali mbali ya kijamii yanaenda kwa kufuata kalenda hiyo.
Ila
Haifai kwetu Sisi kushangilia mwaka mpya huo ingawa tunautambua kuwa upo,naona hapa tumeelewana.
Mwaka mpya WA kiislamu upo na Una miezi Yake mitukufu katika ibada zetu mbali mbali ambayo maarufu miongoni mwenu ni mwezi wa Radhamani huu mnaujua Sana.
Kwahiyo ifahamike kuwa tunautambua mwaka mpya WA kizungu lakini hatupaswi kuushangilia.
Kwanza katika akili ya kawaida Tu,angetakiwa mtu atafakari juu ya miaka yake hapa duniani inapungua kadri mwaka mpya unapo ingia,je amefanya mema mangapi? Ametanguliza nini mbele ya Allah ikiwa Leo au kesho anakufa?
Huo ni mfano tu nimeutoa.
Next time mtoa mada usiridie upumbavu WA kujifanya muislamu kumbe Mgalatia!
Mtume wetu mtukufu Muhammad (saw) alipata kusema; "Jambo lolote jema ni hazina iliyopotea ya Muisilamu basi tuionapo tuichukue".
Hapo jambo jema maana yake ni jambo lenye manufaa kwa Muisilamu mwenyewe na kwa watu wengine hivyo kwakuwa Gregorian Calendar inayo manufaa kwa Waisilamu na dunia nzima basi hiyo ni hazina Muisilamu iliyopotea na hakuna kosa kuitumia.
Kuutumia sawa kuushangilia je???Mtume wetu mtukufu Muhammad (saw) alipata kusema; "Jambo lolote jema ni hazina iliyopotea ya Muisilamu basi tuionapo tuichukue".
Hapo jambo jema maana yake ni jambo lenye manufaa kwa Muisilamu mwenyewe na kwa watu wengine hivyo kwakuwa Gregorian Calendar inayo manufaa kwa Waisilamu na dunia nzima basi hiyo ni hazina Muisilamu iliyopotea na hakuna kosa kuitumia.
Kuutumia sawa kuushangilia je???
VizuriWaislam wana kalenda yao hujawahi kusikia mwezi wa shaaban, rajab, ramadan
Au hujawahi kusikia mwaka mpya wa kichina
Wahindi,wayahudi wote wana kalenda zao kutokana na tamaduni zao
Lakini kalenda tunayotumia sasa ya kikristo ya papa Gregorian ndo ya kisasa na imemeza kalenda nyingine zote
Wakristo wanashangilia kwa sababu ina uhusiano na dini yao,ilianzishwa na Papa Gregory na ina uhusiano na umri wa Yesu,Jiulize; Unapoushangilia unapata manufaa gani??!!--- Mtukufu Mtume Muhammad (saw) kazungumzia juu ya manufaa ya kitu ndio maana akaita "hazina ya muumini iliyopotea", hazina ni kitu chenye manufaa.
Wakristo wanashangilia kwa sababu ina uhusiano na dini yao,ilianzishwa na Papa Gregory na ina uhusiano na umri wa Yesu,
Cha ajabu inashangiliwa na kila mtu,mktisto,muislam na mpagani
Kwanini umeandika huku unajifanya muislamu kama sio upumbavu ni nini?We ndio moumbavu,hivi unajua waislamu wengi wanaushangilia huu mwaka wa kizungu,kuutambua haina shida .shida ni kuushangilia,wanaoushangilia akiwemo rais mstaafu mmoja muislam safi wanaelewa maana yake au ni kujitoa akili.soma uelewe