Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

We ndio moumbavu,hivi unajua waislamu wengi wanaushangilia huu mwaka wa kizungu,kuutambua haina shida .shida ni kuushangilia,wanaoushangilia akiwemo rais mstaafu mmoja muislam safi wanaelewa maana yake au ni kujitoa akili.soma uelewe
Kwahiyo akishangilia Raisi ndio sahihi?

Anaweza kuwa Raisi na asijue Dini yake inamfundisha nini?

Acha ujinga!
 
Another bullshit here.
Kiuhalisia hakuna mwafrika anayehusika na dini yoyote kati ya hizi mbili, wahusika wenyewe ni watu weupe (wazungu na waarabu)
Kama wewe ni mweusi na una midomo mipana na unajiita Muislamu au Mkristo basi tambua hauna akili sababu wewe ni follower tu wa hizo dini na sio mlengwa wala muhusika.

Sema Waafrika weusi wote wanafuata Calendar ya Mzungu, huu ndio uhalisia.
Waafrica tuanzishe kalenda yetu kama vipi
 
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Shule za kiislam zingekiwa zinafata Islamic calendar.

Tunzie happ
 
Kwahiyo akishangilia Raisi ndio sahihi?

Anaweza kuwa Raisi na asijue Dini yake inamfundisha nini?

Acha ujinga!
Huyo Rais anawakilisha waislam vilaza kama wewe mnaosherehekea mambo.msiyoyajua
 
Usinichagulie dini wala style ya kuandika lete majibu kwa nininunasherehekea mwaka mpya wa kizungu
Wewe unakitu gani chako?hata simu na elimu ya kuandika umeletewa acha kuhoji mambo ya kibwege
 
Wewe unakitu gani chako?hata simu na elimu ya kuandika umeletewa acha kuhoji mambo ya kibwege
Usichanganye imani na material things
Huwezi kuwa sheikh unaacha kula nyama ya nguruwe ila mchuzi wake unakula tusihoji kisa dini umeletewa
 
Kuna watu wanateseka sana hapa Duniani, huyu aliyebuni na kuzianzisha dini alijua kuwanyoosha binadamu.
Mnajipa uwehu na hizo theoery zenu kuwa dini zilibuniwa.nikuambie tu short cut.hakuna dini ilibuniwa.kila generation ilikuwa na muonyaj wake aliyewakemea wale walio anza kuishi kama wanyama.na kila aliyewaonya aliwaambia mcheni mungu nafsi kukuongoza kufanya wema.kujisalimisha kwa mola.
 
Magaidi wanapigani kalenda ya kiislamu mwaka huu ni 1444 kwa mujibu wa kalenda yao
 
Uislam ulikuja miaka 600 baada ya ukiristo.

Uislam ana mengi ya kujifunza kutoka kwa kaka yake
Sawa Lakini Vifupisho kama A.D na BC viliundwa na mkatoliki alioitwa Dionysius Exiguus mwaka 525 ila vimeanza kutumika Karne ya 16 miaka 1000 katika mwaka wa 1500s baada ya kifo cha Mtume Japo wayahudi na waarabu ,wachina wabudha na wengine wasio amini kristo hawatumii kugha hii wao hutumia B.C.E badala ya BC Na C.E Badala ya A.D (Maana yake Before Common Era na In the Common era)
 
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Shughulikia maisha yako, haya mambo ya Mashariki ya kati yatakupotezea muda.
 
Back
Top Bottom