Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Waislamu wajinga ndo wanoshabikia ayo mambo watu wenye elimu zao huwaoni kushabikia ujinga kama huoHii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?