Mashindano tayari, kwahiyo ikiwa mfano ni ya kikristu? Yani hampendi amani kabisa mtakuwa na undugu na lucifer tu.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?