Na sisi Waislamu tuna yetu huu ni mwaka 1444H.Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi Waislamu tuna yetu huu ni mwaka 1444H.Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Wewe ndiye huelewi.Mbona hawasherehekei huo mwaka mpya wao,nasikia tu mwezi shabani,ramadhani etc
wao wanasema uislam ulikuwepo kabla ya Yesu na hata wewe kiasili umezaliwa muislamuUislam ulikuja miaka 600 baada ya ukiristo.
Uislam ana mengi ya kujifunza kutoka kwa kaka yake
Kwetu sisi Waislamu tuna sikukuu tatu tu, Iddi Al Fritr, Iddi Al Ad'ha na Iddi ya Jumaa, yaani kila siku ya Ijumaa.Mbona hawasherehekei huo mwaka mpya wao,nasikia tu mwezi shabani,ramadhani etc
Azam tv wanawatakia watanzania wote heri ya mwaka mpya ila wakaogopa kuweka neno xmasKwetu sisi Waislamu tuna sikukuu tatu tu, Iddi Al Fritr, Iddi Al Ad'ha na Iddi ya Jumaa, yaani kila siku ya Ijumaa.
Kusherehekea kupinduka mwaka kwetu sisi Waislamu haifai na ni jambo ambalo walio tutangulia hawakufanya na sisi Waislamu hatufanyi hivyo.
Ibaki ya kuwa Sikukuu ya Mwaka mpya wa Miladiya ni yenu nyinyi Wakristo na so yetu sisi. Na Sasa naona Waislamu mdogo mdogo wameanza kuelewa isipokuwa baadhi Yao ambayo wako mbali na dini yao, ila wataelewa tu kwa idhini ya Allah.
Hawajitambui katika hilo la Mwaka mpya. Ila huenda huko mbeleni mpaka hilo la Mwaka mpya wakaachana nalo.Azam tv wanawatakia watanzania wote heri ya mwaka mpya ila wakaogopa kuweka neno xmas
Ni 1444.Waislam wao nadhani mwaka wao kama sijakosea ni 1436 siyo 2023😀
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Yeah nikweli mkuu umenikumbusha vema, niliona wanapita na mabango mwakajana mtaa wa Livingstone kariakoo wakishangilia mwaka mpyaNi 1444.
ModsHii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Tukubali tu dunia inatawaliwa na mfumo kristo,kila mtu hata sheikh ukimuuliza tupo karne ya ngapi atakupa jibu kulingana na kalenda ya Papa GregoryHata hiyo saa, kwenye uzi wako imeandikwa; today at 2:02 pm inafuata kalenda ya kikristo, basi anza na hiyo saa kabla ya kalenda.
Hamna namna cos ndiyo unaorun dunia1444 wameupotezea vibaya wakadandia 2023 bila kujua kuwa unacuhusiano na Jesus
Kwa hiyo jua ni la wapgani wasabato hizo lesson zinawafanya muwe vichaa sababu hii calendar inafuata juaSiyo miaka ya kikristo ni ya kipagani.