Waislamu wajinga ndo wanoshabikia ayo mambo watu wenye elimu zao huwaoni kushabikia ujinga kama huoHii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
🤣🤣🤣 nyie ni wakristo mlioko kifungoni.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Sasa si mwaka mnautumia? Au msikitini kwenu huo mwaka wa kikristo hamuutumii?Sababu ni wajinga na wanakwenda kinyume na dini, kutambua jambo Fulani haimaanishi ya kuwa jambo husika ulifanye. Weka akilini hili.
Sawa. Kama wewe ni mfanyankazi jiulize tarehe yako ya mshahara ni ipo. Je, wewe ni mwislamu bora kuliko Qatar walioandaa kombe la dunia kwa tarehe za kalenda. Wewe ni mwislamu bora kuliko mashirika ya ndege ya nchi za kiislamu zinazotumia kalenda usiyoitaka? Acha ushamba. Kila kitu kinatumika mahala pake.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Kwa hiyo nyie waislam msio wajinga huwa mnatumia mwaka gani?Waislamu wajinga ndo wanoshabikia ayo mambo watu wenye elimu zao huwaoni kushabikia ujinga kama huo
Kusoma kupi fafanua,madrasa au skulimuislamu gani aliyesoma asilijue hilo? sasa kwa vile tuko katika ulimwengu wa watu wa dini zote tunanyamaza na kuwaachia wahusika washerehekee kama vile wanavyosherehekea wahindu na mayahudi na dini nyingine.
Na sisi ukifika mwaka mpya wetu tunasherehekea ijapokuwa siyo utamaduni wetu kufanya sherehe.
Tangu lini mmeelimika yakhe[emoji16][emoji16]Waislamu wajinga ndo wanoshabikia ayo mambo watu wenye elimu zao huwaoni kushabikia ujinga kama huo
Kuna swali niliuliza Yesu alivaa Kobazi au Raba ?Kuusherehekea ni kosa, Ila kuutumia ni Sawa.
Ni sawa na mtu anayekataa kula nyama ya nguruwe ila mchuzi wake anakunywa.
Ndo umejua kumgawia hiyo asprin atulize fuvu lake, maana kingekuwa kichwa angetumia kuwaza vyema.Sasa kama umetukuta tunashehereka miaka 800 ya mwaka mpya kuna ubaya gani ukituunga mkono...
Mbona Eid El Fitr tunakula ubwabwa pamoja???
Sisi ni ndugu hizi dini tumeletewa tu. Vinginevyo unataka hata tarehe za mishahara zifuate imani za kidini...
Heri ya mwaka mpya mkuu ndugu yangu
Nini maana kuelimika ? Kuingia kanisani na vimini au vimodo au kuamini utatu na kuungama kwa mwanadamu mwenzako ? Au kuelimika ni kuchanganyika jinsia mbili tofauti kwenye ibada ? Kuelimika ni nini hasa ?Tangu lini mmeelimika yakhe[emoji16][emoji16]
Ujinga naendeleza tu, wewe ndiye uliye uanza.Acha ujinga basi
Dhambi kusherehekea sababu jambo hilo si asili katika dini ya Uislamu.Sasa si mwaka mnautumia? Au msikitini kwenu huo mwaka wa kikristo hamuutumii?
Kama unautumia huu mwaka mpaka msikitini, kwa nini iwe dhambi kusherehekea?
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Hivi kwani hata Elfu wamefika kweli?Waislam wapo mwaka 1800s...so mleta mada fuatiria vzr uanze kuzimisha
kusoma skuli na madrasa. Skuli kuna mafunzo ya dini na vitu hivyo vinafundishwa. Ama kufuata au la hilo ni uamuzi wa mtu mwenyewe.Kusoma kupi fafanua,madrasa au skuli
tangu wewe hata hujatoka huko maporini ulipokuwepoTangu lini mmeelimika yakhe[emoji16][emoji16]
Hapo ndio tunapokosea mpaka tunatangaza dini za shetani bila kujua,lazima ujifunze kuhoji,muislam kamili anaamini ukristo sio dini ya ukweli sasa kusherehekea founder wake ni kuikubali kiainaSema ni UJINGA kuwaza ivyo Kuna wengine wameoana Islam christian Kuna wengine MAJIRANI Islam Christian it think ni upumbavu zaidi kuwaza Leo sikukuu Fulani na kujitenga kabisa na iyo ndio inaonyesha moyoni mwako jinsi Gani Haina UPENDO na binaadamu wengine ila tu WA Imani yako ni upumbavu na UJINGA mo Salah kasherekea Christmas ni kuonyesha kwamba unaishi na watu vizuri binaadamu wengi hatuwezi kujifunza HIKI KITU kutokana na upumbavu wetu wa kiakili
hivi wewe hujawahi kuziona mada za kuwasema waisilamu humu? Tena hizo ndizo nyingi sana ukipiga mahesabuHili jukwaa libadilishwe jina liitwe jukwaa la la kuusema ukristo. Yani, asilimia kubwa za mada ni kuusema Ukristo.