Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Awamu ya UJENZI hii, mambo mengine sijui ajira/nyongeza za mishahara na mambo kama hayo sio kipaumbele kwa sasa.

Haya mshangilieni Mkuu kwa makofi na nderemo.
 
yaan nchi haina utaratibu kabisa, tushike lp sasa, mara bwawa la umeme, mara tren ya umeme, mara viwanda, mara chamwino, alafu chek hilo liasikofu linavyoomba kwakujipendekeza, zee zima ovyo...1 MUNGU hapokei maombi yahivyo!
 
Kuna mikakati ndani ya CCM ya kupindua meza...hii ni moja ya mikakati kuweka maombi sawa!!
 
Hii ni nyara ya serikali sio kama kuku
 
Ngoja wakiwa wengi tutapewa tu
 
yaan nchi haina utaratibu kabisa, tushike lp sasa, mara bwawa la umeme, mara tren ya umeme, mara viwanda, mara chamwino, alafu chek hilo liasikofu linavyoomba kwakujipendekeza, zee zima ovyo...1 MUNGU hapokei maombi yahivyo!
Miradi yote inakwenda kwa wakati mmoja shida ipo wapi?
 
Sijui kama kichwa chako huwa kipo sawa
Kuna mikakati ndani ya CCM ya kupindua meza...hii ni moja ya mikakati kuweka maombi sawa!!
 
Elewa hii ni nchi tunayotamani kuwa Taifa kubwa, Huwezi kuwa na Ikulu kama ya vinchi vingine ambako hata Boda Boda wanaweza kwenda kupiga mawe Ikulu
Hata jengo letu la bunge ni kubwa na la kifahari kuliko Mabunge yote hapa E/Africa na kwa ufahari imelizidi bunge la UK(wafadhili wetu) na imetufanya tuwe taifa kubwa sana sasa hivi.
 
naombeni mnieleweshe kidogo hao tausi walikuwa wanafugwa Dodoma au Dar es Salaam?Sasa kama ni Dar kwa nini watolewe Dar wapelekwe Dodoma then warudishwe Dar sio kuwachosha tu.
Wanautalii wa ndani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…