ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
G msigwa-Wataweza kwelii? Hawaweziiiiii... Hii imeekaaje? kina Nani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe usiye pinga una faida ganiChadema kazi yenu ni kupinga tu.Umekosa vyumba huko uswahilini unakokaa.
Ninaishi kwangu.Wewe usiye pinga una faida gani
Mkia ndioHivi tausi wanaliwa
Hongera kwa JPMTumethubutu, na tunaendelea kuthubutu kama nchi huru. Viva Tanzania
Naombeni mnieleweshe kidogo hao tausi walikuwa wanafugwa Dodoma au Dar es Salaam? Sasa kama ni Dar kwa nini watolewe Dar wapelekwe Dodoma then warudishwe Dar sio kuwachosha tu.Mkia ndio
Hii ni nyara ya serikali sio kama kukuNdugu zangu great thinkers karibuni tujadili pamoja jambo hili,maana nimekuwa nikijiuliza sana jambo siku nyingi huyu ndege analiwa ikulu tu na kufugwa huko huko na kwa nini hawezi kufugwa kama tunavyofuga mifugo mingine kama kuku,bata,kanga,kware kwa nn huyu yuko hapo karibuni wajuvi wa mambo mtueleweshe mm na wengine tusiojua vzr mambo haya.
Naona hakuna cha sanitizer wala maskVp huko wamevaa barakoa wageni waalikwa?
Ndugu zangu great thinkers karibuni tujadili pamoja jambo hili,maana nimekuwa nikijiuliza sana jambo siku nyingi huyu ndege analiwa ikulu tu na kufugwa huko huko na kwa nini hawezi kufugwa kama tunavyofuga mifugo mingine kama kuku,bata,kanga,kware kwa nn huyu yuko hapo karibuni wajuvi wa mambo mtueleweshe mm na wengine tusiojua vzr mambo haya.
Miradi yote inakwenda kwa wakati mmoja shida ipo wapi?yaan nchi haina utaratibu kabisa, tushike lp sasa, mara bwawa la umeme, mara tren ya umeme, mara viwanda, mara chamwino, alafu chek hilo liasikofu linavyoomba kwakujipendekeza, zee zima ovyo...1 MUNGU hapokei maombi yahivyo!
Hata jengo letu la bunge ni kubwa na la kifahari kuliko Mabunge yote hapa E/Africa na kwa ufahari imelizidi bunge la UK(wafadhili wetu) na imetufanya tuwe taifa kubwa sana sasa hivi.Elewa hii ni nchi tunayotamani kuwa Taifa kubwa, Huwezi kuwa na Ikulu kama ya vinchi vingine ambako hata Boda Boda wanaweza kwenda kupiga mawe Ikulu