Nsoji go Nvaa
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 999
- 1,948
Inashangaza aisee🤣😂🤣Nina wasiwasi tunaweza kuambukizana Sana aisee!Watanzania ni waoga Kama fisi,Jana kikwete anakagua hostel kavaa barakoa Leo corona hamna hakuna aliyevaa aisee kweli jiwe kiboko yao huyu jamaa atakuwa anatumia dawa ya simba from kuzimu yaan unaogopwa na kila mtu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anahitaji ghahawa
Kishatoka bwawani?Magufuli kiboko jomoni
WaleviUshabiki uko simba na yanga
Hivi hao wazee wa watu kuwaweka hadharani na hii Corona ilivyotikisa wanawatakia nini? Kulikuwa na ulazima wowote wa kufanya sherehe na hili janga? Mbaya zaidi wamejiweka wazi kabisa bila vidhibiti huu ugonjwa! Endeleeni kujidanganya tu!
Usingezaliwa ungeijua maana ya pathetic! Weka hoja si viroja, kila mtu anajua kutokana, inaelekea wewe unapenda hoja za kutukanana ili uonekane mjanja.Wasingegawiwa ungepata hilo swali?,pathetic
Tunayemjua Makongoro.....tumemwelewa naDongo lake!Makongoro kasema corona imetukimbia sababu ya jpm
Mkuu uliwasafirisha?Naona msukuma mwenzangu kaanza kutoa Takrima. Ndege tausi 25 kwa kila Rais mstaafu. Naona kaona aibu maana yeye alishapeleka Tausi kwake Chato muda mrefu tu.
Hata mimi nimejiuliza sana.Kwenye hizi hafla za kiserikali inakuwaje wakati wa Dua na Maombi kunakuwa na rundo la maaskofu huku sheikh anakuwa mmoja tu hii inamaanisha nini? Wakati dini hizi zote ni sawa na kama madhehebu kila dini inayo kadhaa sasa inakuwaje wengine kila dhehebu waende kivyao lakini wengine wawakilishwe kijumla jumla tu, Nashauri haya mambo ya dua na maombi yaondolewe tu.
Kwan kuna ndege asieliwa?Hivi tausi wanaliwa
Hivi tausi wanaliwa