Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Kuanzia Leo sio Nyara Tena!....kwa kuwa akiondoka mama Maria,watoto watagawana!
Hivyo kwa Mwinyi ,Kikwwte na Mkapa ..SI ajabu baada ya miaka Mitano...na sisi huku Kinampanda tutawamiliki!
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Watanzania ni waoga Kama fisi,Jana kikwete anakagua hostel kavaa barakoa Leo corona hamna hakuna aliyevaa aisee kweli jiwe kiboko yao huyu jamaa atakuwa anatumia dawa ya simba from kuzimu yaan unaogopwa na kila mtu
Inashangaza aisee🤣😂🤣Nina wasiwasi tunaweza kuambukizana Sana aisee!
Watu ndio kwanza wameanza kusahau hatua za kujikinga!Mungu tusaidie!
 
Hivi hao wazee wa watu kuwaweka hadharani na hii Corona ilivyotikisa wanawatakia nini? Kulikuwa na ulazima wowote wa kufanya sherehe na hili janga? Mbaya zaidi wamejiweka wazi kabisa bila vidhibiti huu ugonjwa! Endeleeni kujidanganya tu!
 
Ushabiki uko simba na yanga
Walevi
IMG-20200526-WA0034.jpg
 
Makongoro anawaga stories
 
Makongoro kasema corona imetukimbia sababu ya jpm
Hivi hao wazee wa watu kuwaweka hadharani na hii Corona ilivyotikisa wanawatakia nini? Kulikuwa na ulazima wowote wa kufanya sherehe na hili janga? Mbaya zaidi wamejiweka wazi kabisa bila vidhibiti huu ugonjwa! Endeleeni kujidanganya tu!
 
Sasa ni zamu ya mzee mwinyi
 
Wasingegawiwa ungepata hilo swali?,pathetic
Usingezaliwa ungeijua maana ya pathetic! Weka hoja si viroja, kila mtu anajua kutokana, inaelekea wewe unapenda hoja za kutukanana ili uonekane mjanja.

Hata hivyo Post yangu nimeifuta baada ya mods kumpa mtu mwingine.
 
Kwenye hizi hafla za kiserikali inakuwaje wakati wa Dua na Maombi kunakuwa na rundo la maaskofu huku sheikh anakuwa mmoja tu hii inamaanisha nini? Wakati dini hizi zote ni sawa na kama madhehebu kila dini inayo kadhaa sasa inakuwaje wengine kila dhehebu waende kivyao lakini wengine wawakilishwe kijumla jumla tu, Nashauri haya mambo ya dua na maombi yaondolewe tu.
Hata mimi nimejiuliza sana.
 
Back
Top Bottom