Pole hii stage inaoneka na umeiruka mpira unapatikana katika mazingira tofaut yasiyo fanana.mnaweza kufuma wote au mtu akaja nao inategemeaSasa mbona namba 7 na 13 zinapingana?!
7 asiyeshiriki kutengeneza Mpira hatocheza!
13:mwenye Mpira huwa hatolewi ata akicheza vibaya!
SWALI vipi kuwe na mwenye Mpira na wewe umeshasema Mpira umetengenezwa na wote?! Tena asiyeshiriki kutengeneza hachezi,sasa mwenye Mpira ni nani tena hapo?!