chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana.
Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama, alisogezwa hapo Mahakama na JK tena baada ya kumbeba kijana wake pale UDSM, leo kajiona yeye ndio Mahakama kuliko hata Mahakama. Kwamba anazuia wanasheria walio mahakamani wasiamue kwenda kuajiriwa au kuhamisha ajira kwenda idara nyingine ndani ya jamhuri?
Wasingemtoa huko UDSM hiyo Mahakama angeijua? Kwa nini hataki wenzake wasitoke Mahakama?
Huu ujinga ndio unaongoza mahakama ya Tanzania? Kwamba mtu hawezi kutoka mahakama akaenda kuwa mtumishi wa idara ya executive kwa kuhamisha ajira? Kwa hiyo muajiri mkuu Rais na yeye anaguswa na agizo la Juma?
Sasa akiendelea tutamuanika kwenye teuzi za majaji jinsi alivyokuwa influenced kimahusiano na kinasaba