tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Yesu haji kwakoTanzania hapajawahi kutokea CJ mwenye mafanikio na aliye bora kama Juma. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yesu haji kwakoTanzania hapajawahi kutokea CJ mwenye mafanikio na aliye bora kama Juma. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
mahakimu mtapachungulia tu heaven, labda mbadilike. acheni rushwa na roho mbaya.Yesu haji kwako
tuna kitu kikubwa sana tunacho kuwazidi, haujui tu.Hivyo vi plaint vya kitapeli mnabyoandikia wananchi ndio shida
mimi nalinganisha na uwezo wenu, sijasema ninyi sio mawakili. mmesuspend kweli, ila hukumu mnazoandika ndio zinawaweka kwenye kiwango hicho.Mahakimu wengi ni mawakili, wame~suspend licence tu, kwa Dar hapo ukitaka competent lawyers, hawafiki 100, wengi matapeli tu kama wewe
Nchi haijawahi kuwa na Jaji mjinga kama huyu mzeeNimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana.
Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama, alisogezwa hapo Mahakama na JK tena baada ya kumbeba kijana wake pale UDSM, leo kajiona yeye ndio Mahakama kuliko hata Mahakama. Kwamba anazuia wanasheria walio mahakamani wasiamue kwenda kuajiriwa au kuhamisha ajira kwenda idara nyingine ndani ya jamhuri?
Wasingemtoa huko UDSM hiyo Mahakama angeijua? Kwa nini hataki wenzake wasitoke Mahakama?
Huu ujinga ndio unaongoza mahakama ya Tanzania? Kwamba mtu hawezi kutoka mahakama akaenda kuwa mtumishi wa idara ya executive kwa kuhamisha ajira? Kwa hiyo muajiri mkuu Rais na yeye anaguswa na agizo la Juma?
Sasa akiendelea tutamuanika kwenye teuzi za majaji jinsi alivyokuwa influenced kimahusiano na kinasaba
hakuna sekta wapo huru kama mahakama. ukishindwa mahakama ukaja mtaani au ukaenda kuajiriwa kwenye taasisi zenye majungu huko, hautafika mbali kabisa.Anataka akae nao ili awanyanyase vzr. Mahakimu hawana raha na kazi zao na wengi walikuwa wanatoka kwasababu za kunyanyaswa na kunyimwa haki. Hakuna sekta inayonyanyasa wafanyakazi kama Mahakama. Kumejaa vitisho na nyanyaso kubwa sana
Sasa kwanini aweke zuio. Kwanini wanasheria wasitoke idara nyingine kwenda Mahakama. Nina imani ameona exodus kubwa watu wanatoka kwake kwenda kwinginehakuna sekta wapo huru kama mahakama. ukishindwa mahakama ukaja mtaani au ukaenda kuajiriwa kwenye taasisi zenye majungu huko, hautafika mbali kabisa.
Uko sahihi asilimia 100Anataka akae nao ili awanyanyase vzr. Mahakimu hawana raha na kazi zao na wengi walikuwa wanatoka kwasababu za kunyanyaswa na kunyimwa haki. Hakuna sekta inayonyanyasa wafanyakazi kama Mahakama. Kumejaa vitisho na nyanyaso kubwa sana
Huyu JM anaweza kuwa na madhaifu mengine (ni kawaida ukishaingia serikali ya CCM). Lakini uadilifu wa huyu bwana haujateteleka. Ni mtu anajielewa sana.Nimeshtushwa na kauli aliyotoa Prof Juma kwamba amepiga marufuku taasisi na viongozi wa nchi kuwapa ajira mahakimu na watumishi wa mahakama nje ya mahakama. Hii ni kauli ya hovyo kabisa aliitoa wakati akiapisha mahakimu 22 jana.
Huyu Profesa ni zao la jalalani, asili yake sio Mahakama, alisogezwa hapo Mahakama na JK tena baada ya kumbeba kijana wake pale UDSM, leo kajiona yeye ndio Mahakama kuliko hata Mahakama. Kwamba anazuia wanasheria walio mahakamani wasiamue kwenda kuajiriwa au kuhamisha ajira kwenda idara nyingine ndani ya jamhuri?
Wasingemtoa huko UDSM hiyo Mahakama angeijua? Kwa nini hataki wenzake wasitoke Mahakama?
Huu ujinga ndio unaongoza mahakama ya Tanzania? Kwamba mtu hawezi kutoka mahakama akaenda kuwa mtumishi wa idara ya executive kwa kuhamisha ajira? Kwa hiyo muajiri mkuu Rais na yeye anaguswa na agizo la Juma?
Sasa akiendelea tutamuanika kwenye teuzi za majaji jinsi alivyokuwa influenced kimahusiano na kinasaba
Ni kweli. Wambari kakaa sana Mahakama na kaazia chini mpaka alipofika. Huyu katokea kwingine kuja kuzuia wengine kwenda kwingineAliyepaswa kuwa Jaji Mkuu ni Wambari. Na huyù angekuwa Jaji Mkuu ndo mahakimu wangefanya kazi kwa raha na kuboreshewa maslahi yao
kwahiyo hilo ndio kundi linalompiga vita CJ. kwa taarifa tu, kama wambali angekuwa cj msingepata mafanikio haya mliyopata kwa kusimamiwa na Juma. hao ndio walimpinga sana tangu anaingia.Ni kweli. Wambari kakaa sana Mahakama na kaazia chini mpaka alipofika. Huyu katokea kwingine kuja kuzuia wengine kwenda kwingine
Sidhani kama kuna ukweli kuhusu hoja yako hii. Ukweli ni kwamba Mahakimu, Majaji na Wasajili wa Mahakama wengi Sana ni wapenda rushwa, wanyanyasaji na wanapenda umwinyi (ubwana mkubwa).Anataka akae nao ili awanyanyase vzr. Mahakimu hawana raha na kazi zao na wengi walikuwa wanatoka kwasababu za kunyanyaswa na kunyimwa haki. Hakuna sekta inayonyanyasa wafanyakazi kama Mahakama. Kumejaa vitisho na nyanyaso kubwa sana
Basi hiyo ingekuwa sababu ya kuwaachia waondoke na asingewakumbatia .Sidhani kama kuna ukweli kuhusu hoja yako hii. Ukweli ni kwamba Mahakimu, Majaji na Wasajili wa Mahakama wengi Sana ni wapenda rushwa, wanyanyasaji na wanapenda umwinyi (ubwana mkubwa).