Mtendaji Mzuri ni yule mwenye wivu na watu wake aliohangaika kuwajenga kiuwezo, hatokubali kuwaachia kirahisi, Jaji Mkuu amedhihirisha kuwa ni Mtendaji Mzuri katika Mhimili anaouiongoza, amewakumbusha Watendaji wa Taasisi nyingine wanaowataka Mahakimu kuiga mfano mzuri wa Mahakama kuwaandaa na kuwajenga Watumishi wake ndo maana Taasisi hizo wanawata Mahakimu, pongeza mzee kwamba Mahakama ya Tanzania iko juu hadi hizo Taasisi zinawataka watendaji wake, unakuaje Mtanzania usiye na uelewa wewe?