shida ni kwamba, mahakama huwa hawapendi mawakili toka VYUONI, TLS au serikalini wapewe ujaji. wanataka ule umwinyi wao wa mahakama. kumbe hawa wanaotoka nje ndio wanawasaidia kwasababu hawana umwinyi, wanapiga kazi. walishampiga sana vita huyo Juma, ata feleshi. wanataka majaji wawe wanateuliwa toka kwa mahakimu tu.
pia anang'ang'ania kuhamia taasisi zingine, wakati mahakimu wakienda nje hawawezi kazi. wabaki tu hapohapo mahakamani wanapovumiliwa. wananuka rushwa, wamejaa rushwa, hata ukiona wamejenga au wamevaa wamevaa rushwa na kujenga rushwa,