Sheria imzuie professa Juma kujenga ufisadi wa kitaasisi anaotaka kuujenga katika Mahakama

Mahakimu wengi ni mawakili, wame~suspend licence tu, kwa Dar hapo ukitaka competent lawyers, hawafiki 100, wengi matapeli tu kama wewe
mimi nalinganisha na uwezo wenu, sijasema ninyi sio mawakili. mmesuspend kweli, ila hukumu mnazoandika ndio zinawaweka kwenye kiwango hicho.
 
Nchi haijawahi kuwa na Jaji mjinga kama huyu mzee
 
Anataka akae nao ili awanyanyase vzr. Mahakimu hawana raha na kazi zao na wengi walikuwa wanatoka kwasababu za kunyanyaswa na kunyimwa haki. Hakuna sekta inayonyanyasa wafanyakazi kama Mahakama. Kumejaa vitisho na nyanyaso kubwa sana
 
hakuna sekta wapo huru kama mahakama. ukishindwa mahakama ukaja mtaani au ukaenda kuajiriwa kwenye taasisi zenye majungu huko, hautafika mbali kabisa.
 
Sasa kwanini aweke zuio. Kwanini wanasheria wasitoke idara nyingine kwenda Mahakama. Nina imani ameona exodus kubwa watu wanatoka kwake kwenda kwingine
 
Anataka akae nao ili awanyanyase vzr. Mahakimu hawana raha na kazi zao na wengi walikuwa wanatoka kwasababu za kunyanyaswa na kunyimwa haki. Hakuna sekta inayonyanyasa wafanyakazi kama Mahakama. Kumejaa vitisho na nyanyaso kubwa sana
Uko sahihi asilimia 100
 
Sasa kwanini aweke zuio. Kwanini wanasheria wasitoke idara nyingine kwenda Mahakama. Nina imani ameona exodus kubwa watu wanatoka kwake kwenda kwingine
Sure, exodus hiyo ifanye uongozi wa mahakama ujitafakari
 
mimi nalinganisha na uwezo wenu, sijasema ninyi sio mawakili. mmesuspend kweli, ila hukumu mnazoandika ndio zinawaweka kwenye kiwango hicho.
Hivi mbali na utapeli wako ambao utakupeleka commitee ya nidhamu, una uwezo gani?
 
Huyu JM anaweza kuwa na madhaifu mengine (ni kawaida ukishaingia serikali ya CCM). Lakini uadilifu wa huyu bwana haujateteleka. Ni mtu anajielewa sana.
 
Aliyepaswa kuwa Jaji Mkuu ni Wambari. Na huyù angekuwa Jaji Mkuu ndo mahakimu wangefanya kazi kwa raha na kuboreshewa maslahi yao
 
Ni kweli. Wambari kakaa sana Mahakama na kaazia chini mpaka alipofika. Huyu katokea kwingine kuja kuzuia wengine kwenda kwingine
 
kwahiyo hilo ndio kundi linalompiga vita CJ. kwa taarifa tu, kama wambali angekuwa cj msingepata mafanikio haya mliyopata kwa kusimamiwa na Juma. hao ndio walimpinga sana tangu anaingia.
 
Anataka akae nao ili awanyanyase vzr. Mahakimu hawana raha na kazi zao na wengi walikuwa wanatoka kwasababu za kunyanyaswa na kunyimwa haki. Hakuna sekta inayonyanyasa wafanyakazi kama Mahakama. Kumejaa vitisho na nyanyaso kubwa sana
Sidhani kama kuna ukweli kuhusu hoja yako hii. Ukweli ni kwamba Mahakimu, Majaji na Wasajili wa Mahakama wengi Sana ni wapenda rushwa, wanyanyasaji na wanapenda umwinyi (ubwana mkubwa).
 
Basi hiyo ingekuwa sababu ya kuwaachia waondoke na asingewakumbatia .
 
Alichokimaanisha Jaji Mkuu ni kwamba, Mahakama inatumia gharama kubwa kuajiri, kuwapika na kuwajengea Mahakimu wake uwezo hivyo, Taasisi nyingine yenye kuwataka nayo iajiri wanasheria, iwajenge na uliwapike ili wawe kama Mahakimu wa Mahakama wenye weledi na uwezo Mkubwa katika Tasnia ya Sheria, sasa hapo Jaji Mkuu kakosea wapi? Au ndo nyie ambao hamna uwezo mdogo wa kuchanganua mambo hadi mlainishiewe? Hajakosea Jaji Mkuu yupo sahihi ukitaka kizuri kitafute na ukigharamie kukijenga sio kudakia kwa mwenzako aliyehangaika kukijenga, unakuaje mzee wa kazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…