National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Kuna kikundi cha watu .... na sio TISS wala RAIS aliepo madarakani. Hatuna utaratibu wa kufata sheria hata kama zipo na zenye jufaaSasa watakuwaje juu ya sheria ? Wataua...kwa visasi ...watajificha utekekezaji ....na interest ya nchi ....hiyo haiwezekani ....Lazima uwajibikaji uwepo ili sheria iwe one guide kwenye utendaji m....itakuwa fujo sasa ...nani alieomba hayo mabadiliko ? Tiss kama taasisi kutokana research ....yao ugumu kutengeneza Majukumu au Rais kama taasisi ??
Tupe uthibitisho kuwa aliuandaa Mwendazake.Huu muswada uliandaliwa kipindi Cha mwendazake, sijui bi mkubwa kaupendea nn aisee... yaani tunaenda kuunda majambazi watakaokuwa wanafanya ujambazi kisheria... Wakikupora sawa tu, wakikuua sawa tu..wakikuteka sawa tu... yaani kiukweli cjui sasa kama polisi watakuwa na kz gn sasa... Mmmmhhhh hii nchi ngumu sana aisee
Ndo unaona hata Wapinzani wamekaa.kimya kuhusu ripoti ya CAG kutokujadiliwa. Wao wameshikilia tujadili Lissu kwenda kufata gari lake Polisi! Au utasikia "mfateni chato"Bunge linalazimisha kutengeneza mazingira ya mapinduzi. Coup huwa inatafutwa kwa justification au greedy, sasa bunge la CCM linarundika sababu mara CAG anatoa ripoti wanafungia maandazi hawachukui hatua, mara sheria za kuzuia mashkta kwa watu fulani na mengine mengi.
Careless beings
Wakipitisha huo muswada pia waruhusu Kila raia amiliki silaaha ya kujilinda kama USA au SAView attachment 2643253
Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu....
Jambo linalonistua ni kwamba, wengi hudhani jeshi kutawala ni mpaka pale jeshi linapopindua serikali ya kiraia. Huu muswada umeleta tafsiri mpya ya utawala wa kijeshi. Tufuatilie kwa akili kubwa sana haya mambo yanavyopangiliwa kwa uangalifu kuelekea imla ya kijeshi...
Nipate elimu kutoka kwenu wanaJF
Lengo na dhumuni la uzi huu siyo kubeza ama kuponda kazi kubwa wanayofanya TISS kwa nchi yetu, bali ninalengq kuangalia motive ya huu muswada ambao umekuja kana kwamba ni by the way lakini uzito wa sentensi zilizotumika kuuandaa ni wake up call kurecall matukio ya kijinai ambayo chombo chetu kitukufu kimehusishwa ama kunyooshewa vidole.
- Kuna ukamilifu gani kwenye jinai?
- Kuna uaminifu gani kwenye jinai
- Kipimo gani kinatumika kufahamu kuwa jinai fulani imefanyika during utekelezaji wa majukumu kwa uaminifu
- Aina gani ya jinai inayoombewa mabadiliko? Ya kutesa au kuua?
- TISS ni jeshi au kitengo cha uraia kinachofanya shughuli za kijeshi? Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu utendaji wa jeshi kwa raia?
- Huu muswada nani wameomba hayo marekebisho yaani ni TISS au Rais (taasisi/sponsor)?
Kwa mahaba mema kwa nchi yangu, I submit
CC: Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Retired raraa reree Extrovert Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr zitto junior lumumbai Kiranga Erythrocyte mwanamwana MwanaWA Ebrania Gily Demi
Nina watu watatu ninao wajua walimatwa na mahakamani walifikishwa mmoja nakueleza kwa ufupiUlishaona wanakamatwa kama wanavyokamata wanajeshi au polisi? Lini uliona mfanyakazi wa "teeth" amepelekwa mahakamani kwa kosa la kijinai ,sabaya "andakava igo sirii" alivyodakwa hata kama ni wa kwao lakini walimkana.
Yaaaaa kama ilikuwa kikazi utakamatwa lakini hukai hukoMsala binafsi wanakutemaa tu mazimaaa.. ila kama msala wa kikazi mbona inaishaga kimya kimyaaa
Uliliwa kiboga na mwendazake wewe sio bureHuu muswada uliandaliwa kipindi Cha mwendazake, sijui bi mkubwa kaupendea nn aisee... yaani tunaenda kuunda majambazi watakaokuwa wanafanya ujambazi kisheria... Wakikupora sawa tu, wakikuua sawa tu..wakikuteka sawa tu... yaani kiukweli cjui sasa kama polisi watakuwa na kz gn sasa... Mmmmhhhh hii nchi ngumu sana aisee
Sheria kandamizi zote zimetungwa kipindi cha mzilankende akidhani ataishi milele, Sasa kuna watu serikalini wanataka kumwingiza bi mkubwa king alafu baadaye wafanye yao kupitia hao wavaa miwaniUliliwa kiboga na mwendazake wewe sio bure
Kikawaida TISS wasingetakiwa kuwepo lakini hali halisi si kawaida. Kuna elqaeda walitikisa dunia kuna uamsho walitikisa zanzibar kuna raila na askofu mackenzie wanatikisa Kenya. Sheria zote haki zotezote taratibu zote zipo yeye hataki. Huna jinsi. Au mko vitani na mabeberu msaliti anatoa siri zenu. Huna jinsi. Kama si hivo walactusingehitaji TISS.
Ni Wapumbavu, empty headed baboonsKila siku nawalaumu TISS sababu asilimia kubwa hawana akili
Uliona mbali inawezekana hoja yako ilikuwa catalyst ya Mswada huu.Kwa mujibu wa bandiko hili, TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!
muswada huu ni majibu ya hoja zangu za bandiko hili, yale mambo niliyoaulizia humu ambayo TISS hawaruhusiwi, kuteka, kutesa na kuua, kwa muswada huu, sasa TISS wanaruhusiwa!.
P
Hiii document ilianza kuandikwa wakati wa Magufuli ambaye alitaka kuwa mungu- mtu kama akina Kabudi, Kangi Lugora na Aggrey Mwanri walivyokuwa wanamuona.View attachment 2643253