Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
SawaKwa undani soma kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaKwa undani soma kitabu cha ujasusi wa kidola na kiuchumi.
Mahakama na timu ya investigation huwa inachunguza tukio limetokea katika mazingira yapi? Na he kipi kilisababisha? Ndio wanakuja na maamuzi ya jumlaSasa kwa sheria hii hii si wanaua ,wanateka na wanajeruhi na hawashitakiwi sasa nini kinaenda kubadilika?
Mwanzo walikuwa wanateka, wanatesa na wanaua kama wasiojulikana, kinachobadilika sasa ni kuyafanya hayo kwa mujibu wa sheria.Sasa kwa sheria hii hii si wanaua ,wanateka na wanajeruhi na hawashitakiwi sasa nini kinaenda kubadilika?
Mkuu labda leseni ya kuua itaongeza ufanisi kwenye utendaji kazi😁Mwanzo walikuwa wanateka, wanatesa na wanaua kama wasiojulikana, kinachobadilika sasa ni kuyafanya hayo kwa mujibu wa sheria.
P
Mwanzo walikuwa wanateka, wanatesa na wanaua kama wasiojulikana, kinachobadilika sasa ni kuyafanya hayo kwa mujibu wa sheria.
P
I got a License to kill so I steer the Gat
Magu alikuwa Kweli Dictator uchwara,Hao jamaa wa TISS wataanza kuua watu hasa wapinzani wa watawala na hawatochukuliwa hatua yoyote ile kwa sababu sasa wana Kinga.
Na wanaCCM watakuwa wajinga wakidhani kuwa hii itaenda kuwagusa wapinzani tu, atatokea mtawala kichaa ataanza kuwashughulikia kupitia watu wa usalama wa Taifa na hawatakuwa na yeyote wa kumhold accountable
Hawa kazi yao ni kukamata au kutoa info ili mhusika akamatwe na SHERIA ichukue mkondo wake naona wanataka kujifanya LAW ENFORCERSMwanzo walikuwa wanateka, wanatesa na wanaua kama wasiojulikana, kinachobadilika sasa ni kuyafanya hayo kwa mujibu wa sheria.
P
Tofauti kubwa sana iwapo sheria itawalinda kushtakiwa.Hao jamaa hata sheria isipobadilishwa haithiri chochote Ben amepotezwa na wao wao(Zitto alithibitisha baada ya kufanya upelelezi) hakuna aliyekamatwa wala kushitakiwa.
Zakaria aliwapiga risasi hao majamaa walivyotaka kumteka lakini hawakushitakiwa kwa UTEKAJI kwahiyo mimi sioni hata faida ya kwenda kuwalipa wabunge wakae kujadili amendments ni kupoteza muda na fedha za posho haisaidii kitu maana kwa sheria hii wanaua /wanateka/wanajeruhi lakini hawaguswi.
Tofauti kubwa sana iwapo sheria itawalinda kushtakiwa.
Hasa baada ya kuokotwa uvccmKila siku nawalaumu TISS sababu asilimia kubwa hawana akili
Nina wasi wasi kufungwa kwa Sabaya kumewafanya wanaomuunga mkono Sabaya yasije kuwakuta tena.View attachment 2643253
Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu....
Jambo linalonistua ni kwamba, wengi hudhani jeshi kutawala ni mpaka pale jeshi linapopindua serikali ya kiraia. Huu muswada umeleta tafsiri mpya ya utawala wa kijeshi. Tufuatilie kwa akili kubwa sana haya mambo yanavyopangiliwa kwa uangalifu kuelekea imla ya kijeshi...
Nipate elimu kutoka kwenu wanaJF
Lengo na dhumuni la uzi huu siyo kubeza ama kuponda kazi kubwa wanayofanya TISS kwa nchi yetu, bali ninalengq kuangalia motive ya huu muswada ambao umekuja kana kwamba ni by the way lakini uzito wa sentensi zilizotumika kuuandaa ni wake up call kurecall matukio ya kijinai ambayo chombo chetu kitukufu kimehusishwa ama kunyooshewa vidole.
- Kuna ukamilifu gani kwenye jinai?
- Kuna uaminifu gani kwenye jinai
- Kipimo gani kinatumika kufahamu kuwa jinai fulani imefanyika during utekelezaji wa majukumu kwa uaminifu
- Aina gani ya jinai inayoombewa mabadiliko? Ya kutesa au kuua?
- TISS ni jeshi au kitengo cha uraia kinachofanya shughuli za kijeshi? Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu utendaji wa jeshi kwa raia?
- Huu muswada nani wameomba hayo marekebisho yaani ni TISS au Rais (taasisi/sponsor)?
Kwa mahaba mema kwa nchi yangu, I submit
CC: Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Retired raraa reree Extrovert Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr zitto junior lumumbai Kiranga Erythrocyte mwanamwana MwanaWA Ebrania Gily Demi
ExactlyKwani kwasasa haiwalindi? Mbona wamempoteza Ben watcheight? Mbona wamemtandika Lissu risasi? Kuna aliyeshitakiwa? Kwani hii sheria ndiyo itawaruhusu kuua hadharani huku watu wakiwaona na kutembea bila wasiwasi kama wafanyavyo polisi wakiwa field? Si wataendelea kufanya kwa kificho hicyo hivyo? Sasa mantiki ya kuwa na sheria ya kuwalinda ni nini? Kwani kuna aliyewahi kushitakiwa? Kama yupo unaweza kuweka hiyo case hapa?