Sheria mpya ya TISS tusijifanye vipofu wakati kumbe tunatawaliwa ama tunaenda kutawaliwa kijeshi

Sheria mpya ya TISS tusijifanye vipofu wakati kumbe tunatawaliwa ama tunaenda kutawaliwa kijeshi

Totalitarian state iliyikuwa ikizuga zuga kujifanya nchi ya Democracy.
Karibuni ktk ulimwengu wa kunyatiana na sheria bubu.

Sasa mjiandae kweli kweli mana hata wao wataadhibiwa endapo watafeli Maagizo na kuonekana wamekaidi maagizo...... Afande sio rafiki
 
View attachment 2643253

Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu....

Jambo linalonistua ni kwamba, wengi hudhani jeshi kutawala ni mpaka pale jeshi linapopindua serikali ya kiraia. Huu muswada umeleta tafsiri mpya ya utawala wa kijeshi. Tufuatilie kwa akili kubwa sana haya mambo yanavyopangiliwa kwa uangalifu kuelekea imla ya kijeshi...

Nipate elimu kutoka kwenu wanaJF

  1. Kuna ukamilifu gani kwenye jinai?
  2. Kuna uaminifu gani kwenye jinai
  3. Kipimo gani kinatumika kufahamu kuwa jinai fulani imefanyika during utekelezaji wa majukumu kwa uaminifu
  4. Aina gani ya jinai inayoombewa mabadiliko? Ya kutesa au kuua?
  5. TISS ni jeshi au kitengo cha uraia kinachofanya shughuli za kijeshi? Sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu utendaji wa jeshi kwa raia?
  6. Huu muswada nani wameomba hayo marekebisho yaani ni TISS au Rais (taasisi/sponsor)?
Lengo na dhumuni la uzi huu siyo kubeza ama kuponda kazi kubwa wanayofanya TISS kwa nchi yetu, bali ninalengq kuangalia motive ya huu muswada ambao umekuja kana kwamba ni by the way lakini uzito wa sentensi zilizotumika kuuandaa ni wake up call kurecall matukio ya kijinai ambayo chombo chetu kitukufu kimehusishwa ama kunyooshewa vidole.

Kwa mahaba mema kwa nchi yangu, I submit

CC: Mzee Mwanakijiji Pascal Mayalla Retired raraa reree Extrovert Bujibuji Simba Nyamaume Mshana Jr zitto junior lumumbai Kiranga Erythrocyte mwanamwana MwanaWA Ebrania Gily Demi
Huu muswada uliandaliwa kipindi Cha mwendazake, sijui bi mkubwa kaupendea nn aisee... yaani tunaenda kuunda majambazi watakaokuwa wanafanya ujambazi kisheria... Wakikupora sawa tu, wakikuua sawa tu..wakikuteka sawa tu... yaani kiukweli cjui sasa kama polisi watakuwa na kz gn sasa... Mmmmhhhh hii nchi ngumu sana aisee
 
Kwani kwasasa haiwalindi? Mbona wamempoteza Ben watcheight? Mbona wamemtandika Lissu risasi? Kuna aliyeshitakiwa? Kwani hii sheria ndiyo itawaruhusu kuua hadharani huku watu wakiwaona na kutembea bila wasiwasi kama wafanyavyo polisi wakiwa field? Si wataendelea kufanya kwa kificho hicyo hivyo? Sasa mantiki ya kuwa na sheria ya kuwalinda ni nini? Kwani kuna aliyewahi kushitakiwa? Kama yupo unaweza kuweka hiyo case hapa?
Kabisa system ikikutaka inakupata kwa style yoyote ile

Ova
 
Kumekuwa na marekebisho ya kisheria yakifanyika na kupitishwa bungeni kwa nyakati tofauti tofauti pasipo wananchi au wadau kuanzishia mijadala kama hili la TISS sasa hivi ambavyo imekuwa maana.

TISS wamelipa nguvu kwenye mitandao ya kijamii kusambaaa na baadhi ya wana habari kufahamika na lipingwe, kwasababu wao wenyewe ndani ( wenye akili timamu wameona hii sheria kimeo itakuja waumiza hata wao wenyewe kama sio familia zao etc ). Kama wangekuwa wanalitaka ( wanaitaka iyo sheria ipite ) jamaa walikuwa wana uwezo wa kucheza nalo kimya kimya mkashangaa tu sheria imepitishwa..

Kwa ufupi hii sheria hata TISS wenyewe wameona ya kidwanzi ndio maana wanatumia hizi media kuisanua jamii, hatimae mabunge yataona soo waifanyie marekebisho
 
Yah, inawezekana ikawa hivyo na wao huenda hawajaikubali lkn ikifika bungeni tena kwa Tulia Akson ujue ataipitisha tu, wabunge wenye uwezo wa kuizuia hiyo sheria hakuna na kibaya zaidi cku hz wanahongwa ili mambo yaende
 
Kwa katiba/sheria ya sasa na wanayofanya ni hatari na hawakaguliwi na mtu yeyote na ikitokea tukio limefanyika na wao basi polisi hawafanyi chochote linaishia hapo hapo! Nachojua hata JWTZ akifanya jinai polisi wanaenda kumkamata lakini jinai ikifanywa na "Teeth" hata kama ni nje ya utaratibu(hajaagizwa na sponsor) polisi hawamkamati.

Kwahiyo sioni mantiki ya kwenda kubadili na kuwapotezea muda wabunge na kupoteza fedha kwenye posho ziendelee hizo hizo.
Wanakamatwa mbona
 
Yah, inawezekana ikawa hivyo na wao huenda hawajaikubali lkn ikifika bungeni tena kwa Tulia Akson ujue ataipitisha tu, wabunge wenye uwezo wa kuizuia hiyo sheria hakuna na kibaya zaidi cku hz wanahongwa ili mambo yaende
Jamaa wameichomoa hii, haitakaa ipite. Ndio maama wanatumia media kuwasanua watu mbali mbali.. kelele ikiwa nyingi bungeni wataona nomaaa, itarudishwa tu. Haiwezi pita, wangekuwa wanataka ipite usinge ona hizi harakati za kusanua watu
 
Kumekuwa na marekebisho ya kisheria yakifanyika na kupitishwa bungeni kwa nyakati tofauti tofauti pasipo wananchi au wadau kuanzishia mijadala kama hili la TISS sasa hivi ambavyo imekuwa maana.

TISS wamelipa nguvu kwenye mitandao ya kijamii kusambaaa na baadhi ya wana habari kufahamika na lipingwe, kwasababu wao wenyewe ndani ( wenye akili timamu wameona hii sheria kimeo itakuja waumiza hata wao wenyewe kama sio familia zao etc ). Kama wangekuwa wanalitaka ( wanaitaka iyo sheria ipite ) jamaa walikuwa wana uwezo wa kucheza nalo kimya kimya mkashangaa tu sheria imepitishwa..

Kwa ufupi hii sheria hata TISS wenyewe wameona ya kidwanzi ndio maana wanatumia hizi media kuisanua jamii, hatimae mabunge yataona soo waifanyie marekebisho
[emoji625][emoji625]
 
Ulishaona wanakamatwa kama wanavyokamata wanajeshi au polisi? Lini uliona mfanyakazi wa "teeth" amepelekwa mahakamani kwa kosa la kijinai ,sabaya "andakava igo sirii" alivyodakwa hata kama ni wa kwao lakini walimkana.
Msala binafsi wanakutemaa tu mazimaaa.. ila kama msala wa kikazi mbona inaishaga kimya kimyaaa
 
Hata sasa hawafanywi lolote kwa chochote......sheria inawapa power zaidi kisheria Yaani wana nguvu zaidi vyombo chochote nchini ....kuliko hata mahakama na bubfd sasa kama mhimili....wa 4
wana nguvu tu kwasababu hawafahamiki. Wakiondoa usiri wa kutofahamika makali yanapungua maana wanaishi kitaa hata kwao itakuwa hatari
 
wana nguvu tu kwasababu hawafahamiki. Wakiondoa usiri wa kutofahamika makali yanapungua maana wanaishi kitaa hata kwao itakuwa hatari
Sasa watakuwaje juu ya sheria ? Wataua...kwa visasi ...watajificha utekekezaji ....na interest ya nchi ....hiyo haiwezekani ....Lazima uwajibikaji uwepo ili sheria iwe one guide kwenye utendaji m....itakuwa fujo sasa ...nani alieomba hayo mabadiliko ? Tiss kama taasisi kutokana research ....yao ugumu kutengeneza Majukumu au Rais kama taasisi ??
 
Hao jamaa hata sheria isipobadilishwa haithiri chochote Ben amepotezwa na wao wao(Zitto alithibitisha baada ya kufanya upelelezi) hakuna aliyekamatwa wala kushitakiwa.

Zakaria aliwapiga risasi hao majamaa walivyotaka kumteka lakini hawakushitakiwa kwa UTEKAJI kwahiyo mimi sioni hata faida ya kwenda kuwalipa wabunge wakae kujadili amendments ni kupoteza muda na fedha za posho haisaidii kitu maana kwa sheria hii wanaua /wanateka/wanajeruhi lakini hawaguswi.
Kikawaida TISS wasingetakiwa kuwepo lakini hali halisi si kawaida. Kuna elqaeda walitikisa dunia kuna uamsho walitikisa zanzibar kuna raila na askofu mackenzie wanatikisa Kenya. Sheria zote haki zotezote taratibu zote zipo yeye hataki. Huna jinsi. Au mko vitani na mabeberu msaliti anatoa siri zenu. Huna jinsi. Kama si hivo walactusingehitaji TISS.
 
Back
Top Bottom