Kumekuwa na marekebisho ya kisheria yakifanyika na kupitishwa bungeni kwa nyakati tofauti tofauti pasipo wananchi au wadau kuanzishia mijadala kama hili la TISS sasa hivi ambavyo imekuwa maana.
TISS wamelipa nguvu kwenye mitandao ya kijamii kusambaaa na baadhi ya wana habari kufahamika na lipingwe, kwasababu wao wenyewe ndani ( wenye akili timamu wameona hii sheria kimeo itakuja waumiza hata wao wenyewe kama sio familia zao etc ). Kama wangekuwa wanalitaka ( wanaitaka iyo sheria ipite ) jamaa walikuwa wana uwezo wa kucheza nalo kimya kimya mkashangaa tu sheria imepitishwa..
Kwa ufupi hii sheria hata TISS wenyewe wameona ya kidwanzi ndio maana wanatumia hizi media kuisanua jamii, hatimae mabunge yataona soo waifanyie marekebisho