Hizo sheria ni za wana Israil, hazitafanya kazi sasaMkuu,kwa kweli sijui sheria hizo ila mtoto ni mtoto tu.Hata kama ulimzaa juu ya mti.Ni mtoto tu na ana haki zote kama mtoto.
Kwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI
REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....
Thx mpwaa nilitaka kujua mapemaa nimwahiii mzee tuyajenge kabla ayajaaribikaKwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).
Kwa current position ya maamuzi ya mahakama za juu, kila mtoto ana haki ya kurithi kwenye mali za MZAZI WAKE!
Sasa zingatia hapo MALI ZA MZAZI WAKE, manake kuna mali hutafutwa na mzazi wake jointly na mzazi asiye mzazi wake, hapo ndio changamoto huanzia.
😛 😀 😀Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa.
Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki sana Ishmail ila nje ya utajiri familia ya Sarah na Ibrahim.
Mda wa mgawanyo watu wanakuwa na roho mbaya ...Mweny ndoa ndio ana haki labda mume awe hana ndoa hata mojaKwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).
Kwa current position ya maamuzi ya mahakama za juu, kila mtoto ana haki ya kurithi kwenye mali za MZAZI WAKE!
Sasa zingatia hapo MALI ZA MZAZI WAKE, manake kuna mali hutafutwa na mzazi wake jointly na mzazi asiye mzazi wake, hapo ndio changamoto huanzia.
Acha kumsingizia Ibrahim Mambo ya Ajabu.Sarah Ndiye aliyetaka Ibrahim Amfukuze Ishmael.Ila Ibrahim Hakuwa na Hayo mambo.So kwa Ufupi.Urithi wa Mtoto uko kwa Baba yake bila kujali kazaliwa kichakani au kichochoroni.Usipompa au aipopewa Ataupata tu Hata kutoka kwa Mungu Muumba.Mali ulizozipata kwenye ndoa ni zako na mke huyo wa ndoa na hao watoto. Hayo mambo mengine nje jitahidi uyamalize nje ya ndoa hukohuko kabla hujafa.
Ndio maana Ibrahim ilibidi amfukuze mtoto wa nje ya ndoa na mama yake ili wakabarikiwe wakiwa kwingine sio hapo. Na Mungu akasikia na kumbariki sana Ishmail ila nje ya utajiri familia ya Sarah na Ibrahim.
Ukristo hauna sheria za mirathi, unategemea sheria za nchi.WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI
REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....
Kama mzazi ambayeni baba hana anacho miliki kimaandishi na kwa jina lake, mfano ,hati zote za nyumba hazisomi jina la baba hii itakuwaje ,ili hao watoto wa nje wapate Mali za baba yao.Kwenye sheria, hakuna mirathi ya kikristo, hivyo mgawanyo wa mali hufanyika kwa mujibu wa sheria za nchi (Probate & Administration of Estate Act, Law of Marriage Act na The Law of Child).
Kwa current position ya maamuzi ya mahakama za juu, kila mtoto ana haki ya kurithi kwenye mali za MZAZI WAKE!
Sasa zingatia hapo MALI ZA MZAZI WAKE, manake kuna mali hutafutwa na mzazi wake jointly na mzazi asiye mzazi wake, hapo ndio changamoto huanzia.
Harithi kutokana hana uhalali wa baba huyo ,kuna kusingiziwa kumbuka ni zinaa ila walakini kama mtoto huyo ni wako au lah!? Ndani ya ndoa tu unapigiwa sembuse zinaa.Acha kumsingizia Ibrahim Mambo ya Ajabu.Sarah Ndiye aliyetaka Ibrahim Amfukuze Ishmael.Ila Ibrahim Hakuwa na Hayo mambo.So kwa Ufupi.Urithi wa Mtoto uko kwa Baba yake bila kujali kazaliwa kichakani au kichochoroni.Usipompa au aipopewa Ataupata tu Hata kutoka kwa Mungu Muumba.
Hapo utawakamata kweny Matrimonial property ndio utaona udhaifu wa sheriaKama mzazi ambayeni baba hana anacho miliki kimaandishi na kwa jina lake, mfano ,hati zote za nyumba hazisomi jina la baba hii itakuwaje ,ili hao watoto wa nje wapate Mali za baba yao.
WAH HABARI ZA UZIMA NAAMINI MMEAMKA SALAMA.WALE WALIO NA MAGONJWA ALLAH AKAWAPE WEPESI NA WALE MLIO HOSPT MUNGU AKAWAPE WEPESIS PIA MTOKE HUKOO SIO KUZURI NA AKUZOELEKI
REJEA KICHWA CHA HABARI HAPO JUU WENYE UFAHAMU MZAZI WA KIUME AKIFS WATOTO WANJE WANARITHI....??KWA DINI YA KIKRISTO.....