mgawanyo wa mirathi kwa dini ya Kikristo inatumia sheria ya kiserikali ambayo haimbagui mtoto wa kambo. mtoto wa kambo ana haki sawa na mtoto wa kwenye ndoa. Ukristo haumtaji mwanadamu kama haramu ati kwasababu alizaliwa nje ya ndoa, hii ni kwasababu mtoto hana hatia na hata siku ile anazaliwa hajui kama yeye ni mtoto wa kambo au alipatikana guest, mamake akiwa malaya, au mamake akiwa mchungaji. mtoto ni mtoto na ana haki zote. ndio maana tunasema watu waje kwenye Ukristo kwasababu hii ndiyo dini ya haki.
kwa waislam mtoto wa kambo ni mtoto haram hastahili kabisa kurithi kwa babake, atarithi tu kwa mamake, wao wanaamini huyo ni mtoto wa mama. kwenye urithi yeye sio mrithi kwa mali za babake. baba kama ana huruma sana anaweza kumpa kwa kupitia wosia na isizidi 1/3. na anapewa sio kama mtoto, ni zawadi tu anapewa kama ambavyo angepewa mtu mwingine. uislam unajitapa kwamba ni dini ya haki na upendo ila mtoto wa aina hii wanamwita haram na hata kurithi marufuku. ukimbieni uislam wandugu, sio dini ya haki.
ninyi nyote mlio watoto wa kambo humu ndani, jueni uislam unawaita ninyi wanadamu haramu/watoto haram. ati ninyi ni haram. kwani mna kosa gani? mlijikuta tu mpo hapa duniani afu mtu anakuja kuwaita ninyi ni haram! ni kipimo gani cha utakatifu?
chukua mfano, baba na mama wa kiislam ambao ni majambazi na wachawi wamezaa mtoto, ni watu waovu kabisa hawa (mfano tu) mtoto anazaliwa akiwa sio haram. ila mwanamke amezini kapata mtoto, mtoto ni haram kabisa. sasa tuulize, mtoto aliyezaliwa na majambazi (wenye dhambi hawa) na mtoto aliyezaliwa na dada mwenye tabia nzuri tu ila amezini, wana tofauti gani? huyu kazaliwa kwenye ndoa na wazazi majambazi yaani mbegu ya jambazi na yai la jambazi zimemzalisha huyo mtoto, kama tunahukumu hivyo ungemweka mzani mmoja na dada aliyeteleza kwa kuzini (ila tabia zake zingine njema) akapata mtoto kabla ya ndoa au nje ya ndoa.