Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Siku hizi hayapo haya huko mahakamani.wewe ni mwanasheria, tuanzie hapo.
kwa habari ya hawa watu, achana na sheria ya mtoto 2009, achana na indian succession Act au predecents za hivi karibuni zinazosema mtoto anarithi. kwa hawa waislam, sheria inayotumika pindi mtu akisema ni muislam ni kuran, na kwenye kuran imekataza kumrithisha mtoto wa kambo. maamuzi yote yaliyotoka ni ya Mahakama kuu, jaji wa mahakama kuu hafungwi, hata kama kama kuna kesi inasema watoto wote wanarithi, haimzuii jaji mwingine kudepart aendane na kuran hata kama sheria ya mtoto ipo.
Uislamu ni Mfumo wa maisha ya kiarabu kwa ujumla wake.kwa nn itumie sheria ya serikali dini kama dini kwa nini ikose sheria zake binafsi?
Dah!... masikini huyo mtoto anaadhibiwa kwa kosa lisilomuhusu.Kitanda haki zai haramu........ila mtoto hana urithi hapo fanya umtengenezee mazingira mazuri mapema
Hizo unazodai zimeletwa na wazungu ndio sheria zinazitumika sasa kwenye maamuzi! Kumbuka mirathi ya kikristo haigawanywi makanisani bali mahakamani!Sheria ipi ? Hizi za kuletwa na wazungu . Mtoto wa zinaa ni wa zinaa milele hata iweje .
Jamii za kiafrica zinatambua hilo kuna kumtakasa kwa vile sio halali .
Zinatumika nchini kwako ila zina makosa kibao, sikiliza ndugu yangu mbona wanakataa kuweka pesa chafu kweny mzunguo wanasema ni kutakatisha pesa (money laundering) .Hizo unazodai zimeletwa na wazungu ndio sheria zinazitumika sasa kwenye maamuzi! Kumbuka mirathi ya kikristo haigawanywi makanisani bali mahakamani!
Nadhani ni namna ya kuregulate kupunguza michepuko, wakati Babu zetu walikuwa na wake wa kutosha ila saizi tunalazimishwa mke mmoja at the same time ushoga inaonekana ni haki ya faragha ya mtu ila kuoa mke zaidi ya mmoja ni dhambiDah!... masikini huyo mtoto anaadhibiwa kwa kosa lisilomuhusu.
Hilobswali ni gumubsa jwa wanaojiita wakristo. Kwa kuwa hawafati sheria za biblia, wanafata sheria zilizotungwa na watu.Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?
Mkuu ukijihamishia mawazo kwenye uhalali wa ndoa utapata utata sana, baki kwenye haki za mtoto.Zinatumika nchini kwako ila zina makosa kibao, sikiliza ndugu yangu mbona wanakataa kuweka pesa chafu kweny mzunguo wanasema ni kutakatisha pesa (money laundering) .
Ukichambua sheria zao zinabadilika kutwa basi hamna maana a ndoa watu wazae tu , hili la kuondoa Taasisi ndoa ndio lengo la mzungu.
Hata pesa hazina tatizo ila ukitakatisha hazifai kutumia, sijasema mtoto ana dhambi ila hana uhalali kwa baba yake ni mama tu , mtoto hamna njia utamtakasa akawa halali maana umempata kwa zinaaMkuu ukijihamishia mawazo kwenye uhalali wa ndoa utapata utata sana, baki kwenye haki za mtoto.
Mtoto hana uhusiano na "dhambi" za wazazi, ndio maana anapozaliwa hata wakristo tutamwita ni Malaika.
Kuzaliwa nje ya ndoa hakumfanyi asiwe na baba/mama!
People just need to plan their estates well!
Ndio hivyo sasa huna la kufanya, tutawatetea kwa mujibu wa sheria zilizopo!Hata pesa hazina tatizo ila ukitakatisha hazifai kutumia, sijasema mtoto ana dhambi ila hana uhalali kwa baba yake ni mama tu , mtoto hamna njia utamtakasa akawa halali maana umempata kwa zinaa
Sasa ndi unatakiwa kusoma ili ujue unaweza kufanya mtoto wakom apate haki kwa mujibu wa mafundisho. kil tatizo lina mbadala.Ndio hivyo sasa huna la kufanya, tutawatetea kwa mujibu wa sheria zilizopo!
Tukiwapuuza wataishia kuwa chokoraa, wakatili na kuongeza daraja la umaskini!
Hatuwezi acha watu wazae hovyo halafu wasiwe responsible for their own acts, mali za mzazi husika lazima zimguse mtoto wake.
Uandike wosia, usiandike wosia, umgawie kabla au la; wewe jua tu tunajukumu la kulinda haki ya mtoto kwenye mali za marehemu mzazi wake!Sasa ndi unatakiwa kusoma ili ujue unaweza kufanya mtoto wakom apate haki kwa mujibu wa mafundisho. kil tatizo lina mbadala.
unatakiwa kumpatia sehemu ya mali zako ukiwa hai mapema ukishajua ulifanya hivyo hata kuwaandika kabisa kuna nafasi ya wosia ...Katika uislamu wosia ni sehemu ya zaida ila hata usipoandika mali zitagawanywa kwa mujibu wa sheria na haki zao watapata wale watto wa ndoa .
Bado unawajibu wa kumtunza kama mwanao , kumsomesha sio batili .
Mtoto sio halali anaweza kupewa na ndugu ila sio mlengwa , miongoni mwa wenzie wanaweza kumpa kwa kuridhia .Uandike wosia, usiandike wosia, umgawie kabla au la; wewe jua tu tunajukumu la kulinda haki ya mtoto kwenye mali za marehemu mzazi wake!
Hizo ni stories tu, jikite kwenye sheria zitakazokuamulia!Mtoto sio halali anaweza kupewa na ndugu ila sio mlengwa , miongoni mwa wenzie wanaweza kumpa kwa kuridhia .
Sheria zip? Mtoto wa nje ya ndoa ni nje ya ndoa haweza kuwa sawa na wale waliozaliwa nje ya ndoa.Hizo ni stories tu, jikite kwenye sheria zitakazokuamulia!
Endesheni mambo kwa kadiri ya ufahamu wenu, acheni kurejelea mambo ya kidini kwenye mambo nyeti kama mustakabali wa mtoto.Habari za uzima, naamini mmeamka salama, wale walio na magonjwa Allah akawape wepesi na mlio hospitali Mungu akawape wepesi pia mtoke huko, sio kuzuri na hakuzoeleki.
Rejea kichwa cha habari hapo juu, wenye ufahamu - mzazi wa kiume akifa watoto wa nje kwa dini ya kikristo wanarithi?