Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo


Kumbe ulichokuwa unauliza ulikuwa unakielewa. Vizuri.
Unafikiri kwa nini sheria ya kumhudumia Mwanamke iliwekwa?
 
Kumbe ulichokuwa unauliza ulikuwa unakielewa. Vizuri.
Tunazunguka kuongelea vitu minor badala ya kuongelea mzizi wa mjadala (mimi nachokielewa au kudhani ninakielewa sio necessarily kwamba ni kweli au kile unachokielewa wewe) hence kabla hatujaongelea kubadilisha nachokielewe mimi lazima nifahamu kama ninachodhani mimi ndicho unachodhani wewe...; hence kama tupo kwenye same page tunaweza kwenda kwenye mjadala zaidi.....
Unafikiri kwa nini sheria ya kumhudumia Mwanamke iliwekwa?
Sheria iliwekwa ili mwanamke asiwe abused; kwenye Ulimwengu wa Mwanaume ambao upo intertwined kwenye Imani za watu atleast Mke (hapa keyword ni Mke) ambaye Jamii inaona ni Jukumu lake kumuhudumia mme wake kwa wellbeing yake (kutayarisha kitoweo n.k.) basi huyu so called mume na yeye ahakikishe huyu so called mke wake asikose Malazi; Mavazi na Chakula....

Sasa basi uzuri wa Sheria kabla ya Penalty kuna watu wanaoangalia Scenario..., Je huyu mtu ana-lack hivyo vitu au anaweza kujipatia mwenyewe ? Je ni sacrifice ngapi amefanya career-wise...; Je sababu huyu Mume hakuna anachompatia zaidi ya kuja kulala mara moja kwa wiki.., huyu mama akitaka kumtaliki je anaweza kutoa hii sababu... (ukizingatia katika Sheria zetu nyingine za nchi mwanaume anaweza kuoa wake hata wanne wakati mwanamke hawezi kufanya hivyo)

In conclusion Sheria hii ipo pale kuzuia abuse...; Na inaweza ikatumiwa na Mwanaume pia kama scenarios zimebadilika na Mwanamke ndio Bread Winner....
 

Kwa hiyo sheria inayozuia abuse Kwa Mwanamke imelenga kufanya abuse Kwa Mwanaume?
Ndio nikakuambia kuwa kwa sasa hizo sheria zimepitwa na wakati na maelezo nimeshaeleza kwenye post.

Kwanza umesoma nilichoandika kwenye post?
Kama jibu ni ndio, embu niambie nini ujumbe wa andiko hili?
 
Kwa hiyo sheria inayozuia abuse Kwa Mwanamke imelenga kufanya abuse Kwa Mwanaume?
Ndio nikakuambia kuwa kwa sasa hizo sheria zimepitwa na wakati na maelezo nimeshaeleza kwenye post.
Hapo mwanaume amefanyiwa abuse wapi ? Nimekwambia Sheria hio inaweza kutumika kumlinda yoyote hata mwanaume kama Bread Winner ni Mwanamke.., Pia inatoa loophole kwa Mwanamke kuweza kutoka kwenye Uke Wenza (Ukizingatia kama Mwanaume anaweza akawa na wake zaidi ya mmoja) anaweza akatumia kigezo cha kuoa mtaa mzima Bila kujali wellbeing yao (Jambo ambalo mwanamke hawezi kufanya)
Kwanza umesoma nilichoandika kwenye post?
Kama jibu ni ndio, embu niambie nini ujumbe wa andiko hili?
Ujumbe hilo ni suala lako binafsi wala Mimi nilichojibu ni Sheria (IPI na WAPI) na kama inaweza (KUFUTWA KUBADILISHWA) na TIJA au kutokuwepo na TIJA kwa kufanya hivyo hayo mambo ya Ujumbe inawezekana umefanya kutoa burudani (hilo ni subjective na beyond my powers to debate)..., Na uzuri wa Open Forum kama hii unaweza kuamua kujadili au kuongelea Nukta iliyopo kwenye sentensi..., (Na ikawa constructive so long as ipo within the premise ya kinachoongelewa)
 

Maelezo yako ni mazuri kama yangetumika kwenye mada nyingine inayoendana na unachokijadili.
Lakini kwa mada hii maelezo yako hayana maana yoyôte na ni nje ya mada kabisa.

Sijui kama unajua uzi huu unahusu nini?

Yaani ni ile unajadili chochote kinachokuja kwenye akili yako pasipo kuangalia ujumbe wa uzi unasema nini?

Hiyo ndio tunaita kuchochora.
 
Ungekuwa wewe ndio JF au hio ipo kwenye JF Rules kwamba mtu anachagua nani wa kuchangia kilichoadikwa ingekuwa sawa...;

Umeongelea Sheria Kumuhudumia Mwanamke ifutwe sababu ajira zinatoka kwa wote.... Ili mimi nisiendelee kujadili ambacho hakipo kwenye akili yako (nikakuuliza mwanzo kabisa kuhusu hio Sheria IPI na Wapi ) na nikaenda hatua mbele zaidi ya kukuuliza wewe kwa akili yako Sheria ni Nini....

Cha ajabu wewe ukaanza kuongelea mambo ambayo hayapo kwenye Hoja yako (utoto, sijui sekondari, Chuo au wewe mtu mzima umetoka Chuo zamani)...

Sikukata tamaa nikakuuliza Je unaongelea Sheria hii ya Ndoa... baada ya kuona huenda ndio hicho unachoongelea nikakupa context ya In my Humble Opinion kwanini Sheria hio ina Mashiko.... Lakini naona tunarudi palepale tulipoanzia sijui nyie mnaita kuchochora (nyie kina nani and from your own definition nani anachochora katika majibizano yangu na yako) ?
 

Ungesoma bandiko ungeelewa kuwa nilisema kuwa sheria hiyo ilikuwa ya maana lakini ni wakati wa zamani ambapo wanawake walikuwa hawapewi fursa sawa na sisi Wanaume. Lakini kwa sasa hiyo sheria haina maana/mashiko.

Sasa wewe unatoa maelezo marefu ambayo kwa aliyesoma uzi wote nimeshaeleza yote humo.

Ukijadili na mimi lazima utumie zaidi akili yako kuliko kutumia akili ya wenzako(uliyokariri darasani) hapo ndipo wasomi wengi mnapodharaulika.
Sasa kweli mtu mzima umuulize sheria ni nini?

Jifunze kutumia akili yako kuliko ya kukariri ndio tutaelewana, na utaacha kuuliza maswali kama iliyokuwa ukiuulizwa na waalimu wako shuleni
 
"Mwanamke akifanya kazi alafu anataka kuhudumiwa tuu yaani hela yako anaikodolea macho fukuza. Usiwe mjinga. Huo ni ubinafsi."

NAKAZIAAA!
 
Ungesoma bandiko ungeelewa kuwa nilisema kuwa sheria hiyo ilikuwa ya maana lakini ni wakati wa zamani ambapo wanawake walikuwa hawapewi fursa sawa na sisi Wanaume. Lakini kwa sasa hiyo sheria haina maana/mashiko.
Na wewe ungesoma majibu niliyokupa ungeona kwamba Sheria hio bado ina mashiko sababu hata kama imesema mwanamke hata mwanaume inahusika anaweza kutumia same argument kama bread winner ni mwanamke..., vile vile unaongelea mwanamke anapewa fursa sawa na mwanaume ? Umeangalia upande wa wake wenza kama mwanamke anaruhusiwa kisheria / kiimani kuwa na wanaume zaidi ya mmoja ? Kama sivyo ni kipi kinamfunga mwanaume kuwa na wanawake lukuki bila kuwahudumia kwa basic needs ?
Sasa wewe unatoa maelezo marefu ambayo kwa aliyesoma uzi wote nimeshaeleza yote humo.
Ungeeleza ningeuliza ? Kwanza its not even practically possible kueleza kila kitu humo
Ukijadili na mimi lazima utumie zaidi akili yako kuliko kutumia akili ya wenzako(uliyokariri darasani) hapo ndipo wasomi wengi mnapodharaulika.
Haya sasa assumptions nyingine aliyekwambia mimi msomi ni nani au msomi ni nini ?; Kama msomi ni mtu anayesoma basi mimi ndio nasoma ila kusoma kwangu inawezekana sijawahi kuingia darasa hata moja na ni self taught (ingawa this is neither here nor there sababu mimi as an individual au wewe sidhani kama ina mashiko katika mjadala wa hii so called sheria (kama tunaongelea kitu kilekile) kama imepitwa na wakati au hapana... Na kwa kusema hivyo ndio maana swali langu la mwanzo kabisa lilikuwa na maana (Sheria IPI / WAPI) as kama muhusika ni Muislamu au mtu wa Imani fulani huenda hii kitu ipo intertwined kwenye Imani yake (Hence kitu hiki kwake hakiwezi kupitwa na wakati) sababu penalty yake ni ya kumkosea Muumba wake...
Sasa kweli mtu mzima umuulize sheria ni nini?
Nadhani mtu ambaye alitaka kutoka nje ya mada na kuongelea kitu ambacho kingelenga mada muja kwa moja angefanya hivyo (na nimekuwa proven right kutona na hizi to and fro ambazo hazina tija)
Jifunze kutumia akili yako kuliko ya kukariri ndio tutaelewana, na utaacha kuuliza maswali kama iliyokuwa ukiuulizwa na waalimu wako shuleni
Jifunze kutokuwa na inferiority complex mtu anapokuuliza sio kwamba anaku-challenge kama haujui bali huenda anataka kuuliza kama unachoongelea wewe ndio anchoongelea yeye fungua dictionary yoyote andika neno lolote alafu uone kuna definitions ngapi....

Na unapoweka andiko fahamu kwamba watu wana-challenge ulichoandika wewe kama wewe au wewe binafsi ni immaterial kwenye mjadala (as far as I see things anyway)....
 

Hakuna Mwanamke anayelazimishwa kuwa mke Mwenza.

😃😃😃

Kazi ipo
 
...Una Pointi ! [emoji106]...

Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wanapoongea ni busara ukakaa kimya

Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature
50/50 unaiunga mkono?
 
Ndio maana uliambiwa ishi nao kwa akili, sheria waachie tuu, kama hutumii hela ya mwanamke wako trust me kuna mwamba anakula katulia tuu mahali, ndio maana hela zao hazionekani, mimi mke wangu ananidai mamilioni ya shughuli za familia yetu, iyo siku akaniambia utanilipa kweli hizi hela zangu nazotoa, nikamjibu JIONGEZE, aksema ndio mwisho kutoa.

Ila haikuwa mwisho 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…