impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Kabisa wanawake wengi ni wabinafsi na wakishakuwa na kipato cha kuzidi mwanaume huwa wanaamua kujitegemea ndio single mother ni wengi mtaani.Hizo familia wanazohudumia wanawake ni chache Mno
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa wanawake wengi ni wabinafsi na wakishakuwa na kipato cha kuzidi mwanaume huwa wanaamua kujitegemea ndio single mother ni wengi mtaani.Hizo familia wanazohudumia wanawake ni chache Mno
Sheria za kibinadam hazikosi kasoro.Sheria za kiislamu zipo sawa.
Hizi sheria za siku hizi ambazo wameziboresha na kusahau kuboresha wajibu na majukumu ndio zinaleta utata na utapeli Mkubwa.
Angalia nchi za Saudia Arabia, Qatar, Oman n.k. Sheria zao zimenyooka na ndio maana ni ngumu kusikia Masuala sijui ya ukosefu wa ajira.
Ukishasema haki sawa tayari umezungumzia Wajibu Sawa.
Lakini kwenye ulimwengu wa kishetani, mashetani hudai haki sawa lakini hayataki Wajibu sawa
Sheria za kibinadam hazikosi kasoro.
Watu wanaona Mwenyezi Mungu kuwa haelewi, wao ndiyo wanaelewa zaidi.
Matokeo yake kuishi kishetani tu.
Kabisa wanawake wengi ni wabinafsi na wakishakuwa na kipato cha kuzidi mwanaume huwa wanaamua kujitegemea ndio single mother ni wengi mtaani.
Kwani ajira ziko PWC peke yake?Wanawake wanapewa sana kipaumbele.
Mfano kwenye uhasibu kampuni kubwa duniani yenye tawi hapa Tanzania kama PWC ...kwenye kuajiri wahasibu na Auditors inapendelea wanawake.
Mwanaume na CPA yako wanakukataa.. wanachukua mwanamke.
tazama kila mwaka recruitment ya pwc wanawake ni wengi kuliko wanaume
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature
KichekoZuchu sio
Unazungumzia sheria zenu ambazo hazimtambui mwanamke kama mrithi wala kiongozi!, au kuna nyingine!?Futeni sheria zenu huko za kibinadam.
Sisi Waislam sheria zetu zipo wazi.
Mwanamke kuhudumiwa ni nature, siyo sheria au kanuni ya kibinadam.
Basi hata ishara za asili (natural) zinazowazunguka hamzioni?
Haiwezekani jamii ikampa ajira binti wa kike halafu inategemea aolewe na kuhudumiwa na kijana wa kiume asiye na kipato. Kijana wa kiume angepewa ajira kama tunahitaji jamii ya wanaume wahudumiaji.
Ukishawawezesha kwa kipato ni lazima kuhudumia familia, Wachache wasiohudumia na wazaa hovyo sheria iwalazimishe kuhudumia na picha zao ziwe kwenye magazeti na social media ili mwanamke asidanganyike akazalishwa bila huduma.
Hii ni Sheria ya Ndoa
(a)it shall be the duty of every husband to maintain his wife or wives and to provide
them with such accommodation, clothing and food as may be reasonable
having regard to hs means and station in life;
(b) it shall be the duty of every wife who has the means to do so, to provide in
similar manner for her husband if he is incapacitated, wholly or partially, from
earning a livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health.
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature
Dini Iko sawa mwanamke kazi yake ni kukoga na kumuburudisha mmeweSheria za dini na dunia zinakinzana, dunia imempa mwanamke fursa na haki sawa, dini bado inamkandamiza mwanamke na kumuona second class.
Dini Iko sawa mwanamke kazi yake ni kukoga na kumuburudisha mmewe
Sent from my Infinix X6816 using JamiiForums mobile app
Mirathi ndani ya uislamu,inamtambua mwanamke kuwa na sehemu ya urithi ya mali ya marehemuUnazungumzia sheria zenu ambazo hazimtambui mwanamke kama mrithi wala kiongozi!, au kuna nyingine!?
Hata kuendesha gari tu Mwanamke anapigwa mijeledi au mawe mpaka afeUnazungumzia sheria zenu ambazo hazimtambui mwanamke kama mrithi wala kiongozi!, au kuna nyingine!?