Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

Sheria ya kumhudumia Mwanamke ifutwe, kwa sasa Ajira zinatolewa kwa Wote bila upendeleo

Sheria za kiislamu zipo sawa.
Hizi sheria za siku hizi ambazo wameziboresha na kusahau kuboresha wajibu na majukumu ndio zinaleta utata na utapeli Mkubwa.

Angalia nchi za Saudia Arabia, Qatar, Oman n.k. Sheria zao zimenyooka na ndio maana ni ngumu kusikia Masuala sijui ya ukosefu wa ajira.

Ukishasema haki sawa tayari umezungumzia Wajibu Sawa.
Lakini kwenye ulimwengu wa kishetani, mashetani hudai haki sawa lakini hayataki Wajibu sawa
Sheria za kibinadam hazikosi kasoro.

Watu wanaona Mwenyezi Mungu kuwa haelewi, wao ndiyo wanaelewa zaidi.

Matokeo yake kuishi kishetani tu.
 
Sheria za kibinadam hazikosi kasoro.

Watu wanaona Mwenyezi Mungu kuwa haelewi, wao ndiyo wanaelewa zaidi.

Matokeo yake kuishi kishetani tu.

Na mimi ndio nawaambia kama wanataka sheria za kishetani wasifuate nusunusu, wafuate kama zilivyo.
Sio Ushetani wanautaka na sheria za Mungu wanazitaka wanazoziona zinawapendeza
 
Wanawake wanapewa sana kipaumbele.

Mfano kwenye uhasibu kampuni kubwa duniani yenye tawi hapa Tanzania kama PWC ...kwenye kuajiri wahasibu na Auditors inapendelea wanawake.

Mwanaume na CPA yako wanakukataa.. wanachukua mwanamke.

tazama kila mwaka recruitment ya pwc wanawake ni wengi kuliko wanaume
Kwani ajira ziko PWC peke yake?
 
Nasema hivi, hiyo Sheria haibadilishwi utasubiri Sana, hiyo Sheria inaitwa The Law of Marriage Act, lakini pia hiyo Sheria imesema ni jukumu kwa mwanamke kumtunza mume Wake endapo mume Wake ana ugonjwa wa akili,mwili au ni mgonjwa tu.
 
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature
 
Hii ni Sheria ya Ndoa
(a)it shall be the duty of every husband to maintain his wife or wives and to provide
them with such accommodation, clothing and food as may be reasonable
having regard to hs means and station in life;
(b) it shall be the duty of every wife who has the means to do so, to provide in
similar manner for her husband if he is incapacitated, wholly or partially, from
earning a livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health.
 
Kama ww unakipato kikubwa kushinda mumeo itakuaje?
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature
 
Futeni sheria zenu huko za kibinadam.

Sisi Waislam sheria zetu zipo wazi.

Mwanamke kuhudumiwa ni nature, siyo sheria au kanuni ya kibinadam.

Basi hata ishara za asili (natural) zinazowazunguka hamzioni?
Unazungumzia sheria zenu ambazo hazimtambui mwanamke kama mrithi wala kiongozi!, au kuna nyingine!?
 
Haiwezekani jamii ikampa ajira binti wa kike halafu inategemea aolewe na kuhudumiwa na kijana wa kiume asiye na kipato. Kijana wa kiume angepewa ajira kama tunahitaji jamii ya wanaume wahudumiaji.

Ukishawawezesha kwa kipato ni lazima kuhudumia familia, Wachache wasiohudumia na wazaa hovyo sheria iwalazimishe kuhudumia na picha zao ziwe kwenye magazeti na social media ili mwanamke asidanganyike akazalishwa bila huduma.
 
Kweli kabisa.
Lengo la kuwawezesha wanawake ni zuri kabisa lakini wamesahau kuwafundisha kuwa ukishawezeshwa kinachofuata ni majukumu na wajibu.
 
Hii ni Sheria ya Ndoa
(a)it shall be the duty of every husband to maintain his wife or wives and to provide
them with such accommodation, clothing and food as may be reasonable
having regard to hs means and station in life;
(b) it shall be the duty of every wife who has the means to do so, to provide in
similar manner for her husband if he is incapacitated, wholly or partially, from
earning a livelihood by reason of mental or physical injury or ill-health.

Shukran kwa rejea.

Kuna mdau aliuliza ipo kifungu gani na mwaka gani
 
Mimi kama tunachangia Hela nusu kwa nusu kwenye kila kitu sikufulii sikupikii sijui kukuandaa kazini Wala sikuombi ruhusa ya kitu chochote sifa Yako kama mwanaume umeshapoteza mwanaume anatakiwa atoe zaidi hiyo ni nature

Tunaomba hiyo sheria ya kusema mwanaume anatakiwa kutoa zaidi.

Hiyo sheria ya mwanaume kutoa zaidi inatokana na mfumo wa zamani ambao ulimpa nafasi zaidi mwanaume katika Fursa. Hivyo kama umepewa fursa zaidi lazima utoe zaidi.

Kuhusu kufua hizo kazi zinafanywa hata na mashine au wafanyakazi wapo kwa ajili ya kazi hizo.

Ukishafanya kazi lazima pesa yako iingie kwenye mfumo wa matumizi ya familia. Hutaki ishi mwenyewe au tafuta wanaume na misukule wafuate utakacho
 
Hizo Sheria zipo wapi na kwa watu wa aina gani ?

Kabla sijafika mbali Sheria ni nini ? Na nani ana mamlaka ya kufuta hizo Sheria ?
 
Back
Top Bottom