Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.