Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makosa yalikuwa mawili kwa mujibu wa Spika utoro na hilo la kukiuka sheria ya maadili.Kaisome hiyo sheria. Ndiyo maana mawakili wake walienda mahakama kuu wakashindwa. Hivyo adhabu aliyopewa ni halali.
Kaisome tu hiyo sheria ili utoke gizani.
Ndio unavyo jidanganya yani unaijuwa sheria kuliko TLYajayo yanafurahisha.
Sheria ya maadili ukiukwaji lazima uthibitishwe na mahakama.mahakama haijawahi kuthibitisha hiloMakosa yalikuwa mawili kwa mujibu wa Spika utoro na hilo la kukiuka sheria ya maadili.
Mkuu weka kifungu hapa, nyie mnadanganywa tu hapaKubwa ni hilo la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma. Hilo la utoro ni dogo sana na halingemzuia kugombea tena.
Mwanangu kunywa maji kwanza.Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Ina maana mahakama ikisema kuwa kuruhusu Tundu Lissu kufungua kesi ya kupinga kufutwa ubunge italeta mgogoro wa kikatiba ndo inakuwa imehalalisha kuwa alikiuka sheria ya maadili ya utumishi wa umma? Mimi ni layman tu ndo maana nauliza maswali ili nielewe zaidi.Kubwa ni hilo la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma. Hilo la utoro ni dogo sana na halingemzuia kugombea tena.
TaburarasaTundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Ndiyo hivyo.Ina maana mahakama ikisema kuwa kuruhusu Tundu Lissu kufungua kesi ya kupinga kufutwa ubunge italeta mgogoro wa kikatiba ndo inakuwa imehalalisha kuwa alikiuka sheria ya maadili ya utumishi wa umma? Mimi ni layman tu ndo maana nauliza maswali ili nielewe zaidi.