Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 936
Hivi kweli tangia hii Sheria ianzishwe hakuna MTU amewahi kuivunja?..na kama yupo..Baraza Lili handle vipi situation. Na kama hamna basi niwape heko watumishi wa umma Kwa kutii Sheria bila shuruti Kwa asilimia 💯Si sawa,umekosea kwa sababu
1.katiba imetoa mamlaka kwa baraza la maadili ya viongozi wa umma tu,kama chombo pekee cha kusimamia sheria ya maadili ya viongozi wa umma,na hivyo basi palitakiwa kuwa na hukumu kutoka kwenye baraza la maadili ya viongozi wa umma (hukumu iliyomtia hatiani).
2.spika kakosea kufanya maamuzi alitakiwa apeleke kesi hiyo kwenye baraza la maadili ya viongozi wa umma yy akaamua mwenyewe
3.maamuzi yote ni batili