Uchaguzi 2020 Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995 inambana Lissu kuwa mgombea

Uchaguzi 2020 Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995 inambana Lissu kuwa mgombea

Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.

Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.

Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.

PhD za lumumba. Ni utopolo mtupu
 
Aliyefungua kesi ni nani?
 
Mimi nataka Lissu agombee na apewe kabisa kura milioni mbili za kuanzia na Tume Huru ya Uchaguzi ili baaadae aje aijue nguvu ya JPM kwa wananchi na wapiga kura.
Bila kubebwa na tume patachimbika aise
 
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.

Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.

Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.

Yani unajua ibara na sheria kuliko Lissu na wanasheria wote wa Chadema?
 
Unajua kwanini tunakupa za uso tu tena kwa sentensi fupi fupi?....

Ni kwa sababu hizi;

å Mada yako HAINA AKILI Dr Akili na kwa hiyo haijadiliki...!

å Cha ajabu na wewe usivyokuwa Dr Akili kweli, umeunga mkumbo wa malumbano badala utetee ulichoposti...!

å Huwezi kutetea lolote kwa sababu wewe mwenyewe hujui wala kutambua umeposti nini. Hata hiyo sheria I am sure kabisa kuwa wala hata hujui jinsi inavyoweza kumtia mtu hatiani ...!

Kama unabisha wewe jifanye kufanya uchambuzi wa kisomi Dr Akili. Acha maneno ya kwenye khanga za Kitchen Party....

Onesha kuwa wewe ni Dr Akili kweli na siyo Dr Love. Weka hapa hiyo sheria, ichambue na kisha sema ni kwa vipi inamzuia Rais wetu wa JMT - TL kuingia Ikulu...

Lakini ulichofanya wewe, ni kufungulia mlango wa matusi kukuelekea...
The real definition of GT.
 
Ndio unavyo jidanganya yani unaijuwa sheria kuliko TL
Unajua sometimes hawa wataalamu wetu wanaweza wakakustaajabisha kweli kweli.. wanaweza kuwa mahiri Sana katika taaluma zao but wakaja kuteleza katika Jambo dogo Sana ambalo Ata MTU ambaye hajaenda shule akashangaa kilichotokea. Na Kwa hulka za wanasiasa sometimes anaweza kuwa anajua kakosea lakini Kwa ego zao ni Ngumu kukubali, lazima acheze na public ili kupata japo political advantage for future adventures.
 
Hata katiba ya chadema inambana sema Watu hawajakanyaga au hakuna anayetaka kipinga yeye kuwemo wagombea Uraisi

Lakini hata Chadema wakimpitisha aweza kwaa kigingi wakiamua kuhakiki kupitishwa kwake Kama kulizingatia sheria ,katiba ya Chadema na kanuni zake ambazo Ziko kwa msajili

Katiba na kanuni zinataka fomu ukiijaza uirudishe mwenyewe mgombea kwa katibu mkuu hazisemi utatumia wakala Kama alivyofanya Lisu

Pia kuna eneo ambalo mgombea akirudisha fomu kwa Katibu. Mkuu husaini mbele ya Katibu mkuu kuwa maelezo kwenye hiyo fomu Ni sahihi yeye mwenyewe Sio wakala

Chadema Kama Hili mumeshindwa kulisimamia Ziko mamlaka zingine zinazoweza kutengua uteuzi wenu Kama akiteuliwa Lisu kwa kupinga mahakamani,au msajili akaiandikia NEC au NEC yenyewe Baada ya kujithibitishia kuwa alibebwa kinyume Cha sheria na katiba na kanuni za Chadema za uchaguzi

Pamoja na kuwa ubunge ulitutwa kea kuikuka maadili ambapo huzuilika kugombea Hadi miaka mitano ipite

Kifupi Chadema wakae vizuri kwenye upigaji kura zisije kura zao zikapotelea hewani kwa kuchagua mtu ambaye kisheria ana makandokando mengi ikiwrmo kukamatwa na kuwekwa ndani kwa kukiuka masharti ya dhamana
Chadema wachague Watu ambao hawadaiwi chochote kisheria,kikatiba ya Chadema na kanuni zake
 
Lakini kama kuna ka ukweli ndani yake? Tuchukue tahadhari! Ma-ccm hayacjelewi kufanya figisu kule tume ili jina la Lissu likatwe na mwisho wa siku tukose mgombea!
 
Katiba na kanuni zinataka fomu ukiijaza uirufishe mwenyewe mgombea kwa katibu mkuu hazisemi utatumia wakala Kama alivyofanya Lisu
Unajua dada Yehodaya unakuwa kama pumbavu sijui la wapi? Madai makubwa kama haya unashindwaje kudondosha ibara ya katiba hiyo hapa ili wadau wajionee?
 
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.

Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.

Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Mh, kama nyie ndiyo wanasheria, basi taifa linaangamia!
 
Kwani Lissu ameamua Kugombea Ubunge tena??
 
Unajua dada Yehodaya unakuwa kama pumbavu sijui la wapi? Madai makubwa kama haya unashindwaje kudondosha ibara ya katiba hiyo hapa ili wadau wajionee?
Kasome mwenyewe hata katiba na kanuni za Chadema hazisemi fomu ya kugombea ,mgombea atapelekewa online na kuzijaza online !!!

Uteuzi wa Lisu una utata mkubwa Sana kisheria.Chadema someni katiba yenu na kanuni kabla hakijainuka mbele ya Safari.Je Lisu kakidhi vigezo vya uteuzi kisheria na kwa katiba ya Chadema na kanuni zake? Mkifumbia macho mkisema funika kombe mwanaharamu apite msidhani kila mtu atafumbia macho!!! Hiyo Ni Message send kwenu wanachadema wote popote mlipo
 
Hii nchi tatizo kubwa ni wale walioaminiwa kuwa "wameelimika" hivyo kupewa fursa ya uongozi au nafasi kuwatumikia Watanzania,ndio hao wanaotuhakikishia kuwa tuna saratani ya "vyeti" inatutafuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995.

Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.

Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Si sawa,umekosea kwa sababu
1.katiba imetoa mamlaka kwa baraza la maadili ya viongozi wa umma tu,kama chombo pekee cha kusimamia sheria ya maadili ya viongozi wa umma,na hivyo basi palitakiwa kuwa na hukumu kutoka kwenye baraza la maadili ya viongozi wa umma (hukumu iliyomtia hatiani).
2.spika kakosea kufanya maamuzi alitakiwa apeleke kesi hiyo kwenye baraza la maadili ya viongozi wa umma yy akaamua mwenyewe
3.maamuzi yote ni batili
 
Back
Top Bottom