Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.

Haahaa unanikumbushwa Mwaka 2015 ilani ya lowasaKaiangalie kule google.
Bila kubebwa na tume patachimbika aiseMimi nataka Lissu agombee na apewe kabisa kura milioni mbili za kuanzia na Tume Huru ya Uchaguzi ili baaadae aje aijue nguvu ya JPM kwa wananchi na wapiga kura.
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Acha bangi.Kaisome hiyo sheria. Ndiyo maana mawakili wake walienda mahakama kuu wakashindwa. Hivyo adhabu aliyopewa ni halali.
The real definition of GT.Unajua kwanini tunakupa za uso tu tena kwa sentensi fupi fupi?....
Ni kwa sababu hizi;
å Mada yako HAINA AKILI Dr Akili na kwa hiyo haijadiliki...!
å Cha ajabu na wewe usivyokuwa Dr Akili kweli, umeunga mkumbo wa malumbano badala utetee ulichoposti...!
å Huwezi kutetea lolote kwa sababu wewe mwenyewe hujui wala kutambua umeposti nini. Hata hiyo sheria I am sure kabisa kuwa wala hata hujui jinsi inavyoweza kumtia mtu hatiani ...!
Kama unabisha wewe jifanye kufanya uchambuzi wa kisomi Dr Akili. Acha maneno ya kwenye khanga za Kitchen Party....
Onesha kuwa wewe ni Dr Akili kweli na siyo Dr Love. Weka hapa hiyo sheria, ichambue na kisha sema ni kwa vipi inamzuia Rais wetu wa JMT - TL kuingia Ikulu...
Lakini ulichofanya wewe, ni kufungulia mlango wa matusi kukuelekea...
Unajua sometimes hawa wataalamu wetu wanaweza wakakustaajabisha kweli kweli.. wanaweza kuwa mahiri Sana katika taaluma zao but wakaja kuteleza katika Jambo dogo Sana ambalo Ata MTU ambaye hajaenda shule akashangaa kilichotokea. Na Kwa hulka za wanasiasa sometimes anaweza kuwa anajua kakosea lakini Kwa ego zao ni Ngumu kukubali, lazima acheze na public ili kupata japo political advantage for future adventures.Ndio unavyo jidanganya yani unaijuwa sheria kuliko TL
Unajua dada Yehodaya unakuwa kama pumbavu sijui la wapi? Madai makubwa kama haya unashindwaje kudondosha ibara ya katiba hiyo hapa ili wadau wajionee?Katiba na kanuni zinataka fomu ukiijaza uirufishe mwenyewe mgombea kwa katibu mkuu hazisemi utatumia wakala Kama alivyofanya Lisu
Mh, kama nyie ndiyo wanasheria, basi taifa linaangamia!Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka sheria ya maadili ya viongozi wa umma No.13 ya mwaka 1995.
Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.
Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
Kasome mwenyewe hata katiba na kanuni za Chadema hazisemi fomu ya kugombea ,mgombea atapelekewa online na kuzijaza online !!!Unajua dada Yehodaya unakuwa kama pumbavu sijui la wapi? Madai makubwa kama haya unashindwaje kudondosha ibara ya katiba hiyo hapa ili wadau wajionee?
Mungu wetu mkuu wewe wajua Kama kweli lisu alikuwa mtoroMakosa yalikuwa mawili kwa mujibu wa Spika utoro na hilo la kukiuka sheria ya maadili.
Si sawa,umekosea kwa sababuTundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995.