Uchaguzi 2020 Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995 inambana Lissu kuwa mgombea

Hivi kweli tangia hii Sheria ianzishwe hakuna MTU amewahi kuivunja?..na kama yupo..Baraza Lili handle vipi situation. Na kama hamna basi niwape heko watumishi wa umma Kwa kutii Sheria bila shuruti Kwa asilimia 💯
 
[QUO2TE="Dr Akili, post: 36211756, member: 52338"]
Tundu Lissu alipoteza ubunge wake kwa kosa la kukiuka Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma No.13 ya mwaka 1995.

Wanasheria wake walifungua kesi mahakama kuu kupinga adhabu hiyo lakini wakashindwa kesi.

Kwa hiyo kwa mjibu wa sheria hiyo Tundu Lissu haruhusiwi kugombea ubunge wala urais hadi miaka 5 ipite baada ya uamuzi huo. Huu ndiyo ukweli labda kama nia ni kutafuta tu kiki za kisiasa.
[/QUOTE]


Kwani mwanasheria wa tcra anaruhusiwa kuwania nafasi ya ubunge?
 
Nimeandika pale juu kuwa kama akina Akili ndio wanasheria/mawakili wetu, basi hatuna watu! ! Dr Akili , sikutaka kufafanua maana nimechoka mbaya ba presentation yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…