Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali


Kwa vile ndoa ni makubaliano ya watu wawili, vipi kama hao watu wakiamnua by mutual consent kuvunja makubaliano yao ya kuishi pamoja? Kwani ni lazima kuwe na ugoni, ukatili, kulawiti, nk? Si wanaweza kukubaliana tuu hata kama hayo uliyootheresha hapo juu hayapo? Mahakama inaweza kukataa?
 

Ndo maana hata mie nilitaka kujua vipi kama wanandoa wamekubaliana by mutual consent kuachana. Kuna haja ya kupitia mlolongo wote huo? Kuna haja gani hapo kuwahusisha baraza la usuluhishi? Si wamekubaliana kuachana by mutual consent?
 
Ndo maana hata mie nilitaka kujua vipi kama wanandoa wamekubaliana by mutual consent kuachana. Kuna haja ya kupitia mlolongo wote huo? Kuna haja gani hapo kuwahusisha baraza la usuluhishi? Si wamekubaliana kuachana by mutual consent?

Hapa wajuzi wa sheria wanahitajika. Haiingii akilini kuwa nyie wenye ndoa mmeamua kuvunja uhusiano wenu kwa sababu zenu wenyewe mlazimishwe kusuluhishwa.

Ni kupoteza muda na resources nyengine tu.
 
Hebu jaribu kucheki na Dr Katibu mkuu wa chama chetu nadhani anaweza kukusaidia katika hili maana anaka-experience kidogo.
 

Mkuu Babuyao huo ndio ukweli wa ndoa za KIKRISTO.
 
Mahakama yaweza kuvunja ndoa ya aina yoyote ile iwayo. Hatahivyo,kikanisa utafungiwa sakramenti...
 
Unfortunately hii sababu yako jaikidhi kuachana. Kama wewe mkristo muombee.
 
Kwahiyo ukishaoa kikristo ndoa ikakushinda,basi hutoki,utazini tu mpaka ufe,na ikifahamika kuwa umemtenga mkeo na unamwanamke mwingine unaishi nae hautazikwa kikristo??
 
ulokole @ work...........hivi mie najiuliza kwanini akina mama ndio wanao hamaga dini sana? yaani utakuta mama kazaliwa mlutheri akaolewa Rc so akabadili( of which is not bad) huko nako akaona hakuna Mungu kwa imani utamkuta kwa mwingira kesho akiona nako hakuna dini utamkuta Agape sasa najiuliza ivi sisi wanawake tumelogwa ama ni ujinga wa kuzaliwa? kwanini sisi kila siku ni chanzo cha matatizo kwa kupenda kuyumbisha misingi ya familia?

naumia kwa hili sana tu halafu utakuta mama akiingia kwenye haya makanisa ya siku hizi kutwa kucha anakesha kanisani kusali na kutumikia kanisa anasahau familia kabisa siriaz niliona mama mmoja anamuhudumia mch kuliko mumewe hadi mume akamwambia sasa ama uende ukaish na huyo mch ama ubaki hapa nyumban na penyewe bado mama akagom ukawa ugomvi wa ajabu hadi padri kuingilia kwani mama alianza kumyima mumewe unyumba kisa tu hajaokoka jamani jamani acheni tu dunian kuna mambo........
 

Ni kama ulivoelezwa na wadau kadhaa..hoja ya kubadilika imani ni dhaifu.. haitasababisha talaka. Nijuavyo mimi madhehebu yote huwa yanatambua ndoa ambazo tayari zimefungwa sehemu nyingine. na ndio maana hata kama watu hawakuwa na ndoa lkn wana watoto na waliishi kama mume na mke madhehebu mengine huwa yanabariki tu..
ushauri wangu ni kuwa achana na talaka jipange kutatua hilo tatiz la kiimani.. labda kama kuna ishu nyingine hujasema
 
wewe tafuta njia ya kuimarisha ndoa upewe ushauri ila kuvunja mmmh binadamu hatakiwi kuwatenganisha
 
ili kuweka mambo sawa weka dhehebu mlilofungia ndoa, taratibu za kuvunja ndoa zinatofautiana sana sana kati ya dhehebu moja na lingine. Kisheria mkikubaliana na mwenzi wako manavunja ndoa mara moja haina tatizo lakini ndio hivyo kama ni mkatoliki utakosa huduma zote za kiroho i.e hautaruhusiwa hata kwenda kanisani na hata ukifa utazikwa na manispaa.
kama ni mkatoliki tatizo linaanza kushughulikiwa kwa masuluhisho kuanzia jumuiya.. parokia...jimbo... mpaka pope. Mchakato wake mpaka kukamilika nilisikia unaweza kuchukua miaka 30
 
Hii nimesoma kwenye mtandao. Mwenye kufahamu tafsiri yake halali tafadhali niwekee hapa.

Vinginevyo nashukuru kwa michango yenu wote mliochangia.

http://rita.go.tz/laws/History%20Laws/Marriage%20Ordinance,%20%28cap%2029%29.pdf


91. Recognition of decrees of foreign courts

Where a court of competent jurisdiction in any foreign country has passed a
decree in any matrimonial proceeding, whether arising out of a marriage contracted in
Tanzania or elsewhere, such decree shall be recognised as effective for all purposes of
the law of Tanzania–

(a) if the petitioning party was domiciled in that court or had been resident there for
at least two years prior to the filing of the petition; or

(b) being a decree of annulment or divorce, it has been recognised as effective in a
declaratory decree of a court of competent jurisdiction of the parties or either of them.

92. Recognition of extra-territorial divorces
Where any person has obtained a divorce, otherwise than by decree of a court in
Tanzania, in any foreign country, the divorce shall be recognised as effective for all
purposes of the law of Tanzania if–


(a) it was effective according to the law of the country of domicile of each of the
parties at the time of the divorce; or


(b) it has been recognised as effective in a declaratory decree of a court of
competent jurisdiction in the country of domicile of the parties or either of them.
 

Sawa, lakini hata sheria (inaonekana) imetambua umuhimu wa tofauti za kidini katika ndoa iwapo mmoja wa wanandoa ataamua kubadili dini katika ndoa. Huwezi kuendelea kuishi na mkeo kama hamuelewani kutokana na imani mpya za kidini alizokumbatia.
 

Hapa umezungumza ukweli mtupu. Iweje mke aende kusali/kufanya maombi kila siku, siku saba kwa wiki? Na mbaya zaidi hata watoto hawahudumii vilivyo kama ilivyokuwa awali?
 
Imekula kwako kama vp badili dini kama chamelleone then oa muke mwingine!
 
Kuna tofauti za msingi kati ya madhehebu mbalimbali ya kikristo. Kwa hiyo ile kwamba wote ni wakristo siyo hoja.

Mbona umpe talaka jamani?MUNGU ANACHUKIA KUACHANA,usichoke kuongea nae ili arudi RC mwambie MUNGU haangalii dhehebu hata ukiwa katoliki anabariki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…