Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

Anapewa gawia Kwa kanuni ipi? Na Kwa kiasi gani? Mchango wake unapimwaje?
Mahakama huzingatia mambo mengi sana, kazi za ndani zikiwemo (Domestic Work). Mfano, mali mlizochuma pamoja, mali zilozochumwa kabla ya ndoa, au mali ambazo alichuma mwanaume peke yake lakini mwanamke ametoa mchango katika kuziendeleza.

Hawawezi kugawa 50/50,hili hata Marekani halipo, ila watahakikisha mwanamke anaachwa kwenye nafasi nzuri ili aweze kuanza maisha mapya. Hapa pia watauliza kama mwanamke alikuwa anamhudumia vizuri mume wake kwenye kazi za ndani kama chakula, usafi na mengineyo.

Kama kuna umuhimu zaidi mahakama itaamua mwanamke apewe hadi pesa za kujikimu (Alimony) mpaka pale atakapoweza kusimama vizuri kwa miguu yake.

Mitandaoni kuna taarifa nyingi, lakini kwasababu hatupendi kusoma tunashinda Pornhub, Xvideos na kupelekwa na matukio hatuwezi kufahamu mengi.

Kama wengi wetu ambao tunajifanya wajanja humu ndani tungepata wasaa wa kusoma kesi zinazohusu mali za marehemu Mzee Reginald Mengi tungejifunza mengi kwasababu yamezungumzwa sana.
 
Upuuzi
 
Hatukatai kwamba hivyo ndivyo mambo yalivyo sasa, ila tunajadili sasa ili huo upuuzi wa Alimony nk. ubadilike, kila mtu achukue mali yake, na aendeshe maisha yake. Hivi ni kwanini watu wameachana ila mwengine ageuzwe mfuko wa pensheni kwa kumlipa mwenzake alimony, why? Hii ni sheria ya kiuonevu na ni vyema ikarekebishwa.
 
Kwa hiyo mwanaume ndio hatakiwi kuachwa kwenye nafasi nzuri?
 
Mkuu,acha kupindapinda for nothing...wanaoumia na sheria hizi ni ME,na ndio maana siku hizi ukitofautiana kidogo na mkeo atakwambia tugawane mali,na kwel mkienda mahakamani ngoma inapigwa pasu hata kama alikuta kila k2...kwa kifupi wanaume tunawindwa na sheria 24/7/365!
 

Kweli kabisa
 
Sheria kama hiyo haipo
 
Sheria za mambo ya ndoa zipo wazi na ni nzuri..... isipokuwa mahakama zetu linapokuja Suala la ndoa mahakimu wanatoa hukumu Kwa hisia badala ya uhalisia Kwa kuwa always mwanamke anapenda ku play victim na mahakama inaingia kwenye mtego huo......
 
Sheria za mambo ya ndoa zipo wazi na ni nzuri..... isipokuwa mahakama zetu linapokuja Suala la ndoa mahakimu wanatoa hukumu Kwa hisia badala ya uhalisia Kwa kuwa always mwanamke anapenda ku play victim na mahakama inaingia kwenye mtego huo......

Hatari Sana.
 
Nchi zenye akili washatekeleza huo ushauri.

Prenuptial Agreement muhimu sana.

Kenya: Using Prenuptial Agreements For Wealth Protection

The position under the Matrimonial Property Act of Kenya (the Act) is that when a marriage is dissolved, the matrimonial home, household effects and assets jointly owned and acquired during the marriage are considered as "matrimonial property" which is to be divided between the divorcing parties based on the contribution of each party towards the acquisition of the asset.
 
Sheria za mambo ya ndoa zipo wazi na ni nzuri..... isipokuwa mahakama zetu linapokuja Suala la ndoa mahakimu wanatoa hukumu Kwa hisia badala ya uhalisia Kwa kuwa always mwanamke anapenda ku play victim na mahakama inaingia kwenye mtego huo......

Mwanamke sehemu yeyote akienda hata kama yeye ndiyo mwenye makosa ataonewa huruma si dawati la jinsia ,si mahakamani ,si bakwata si kwa paroko.
 
Mimi Sina Mali ya Mr and Mrs Bali Nina Mali yangu,nyumba isiguswe Kwa nini? Na inakuwa ya umiliki wa pamoja kiaje?
Kama ni nyumba mnayoishi wanandoa huwezi kuigusa bila idhini ya mkeo kwa kuuza, ku rentisha, kugawa, kuchukulia mkopo, kurithisha, wala kuandika eti ukifa uzikwe mlango wa mbele.

CAP 29
Part IV
Sect 59
Sub-sect 1

Where any estate or interest in the matrimonial home is owned by the husband or the wife, he or she shall not, while the marriage subsists and without the consent of the other spouse, alienate it by way of sale, gift, lease, mortgage or otherwise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ