ThaGreatman
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 708
- 1,465
Kwa hiyo principles of law zinatupiliwa mbali?Unauliza ' Bangi ' Arumeru?
Bado wanakumbuka jinsi alivyowabwaga vibaraka wao Kule singida mashariki na TLsYa nini kujichosha wakati tume ya uchaguzi ni Yao!!
Umeambiwa uliza wadau wa mikopo watakwambia..Kwa hiyo principles of law zinatupiliwa mbali?
Maana principle za kisheria ni kwamba sheria huwa inaanza kufanya kazi mara baada ya kusainiwa na Mh.Rais,sasa hii itakayorudi nyuma ili kutekeleza malengo ya baadhi ya watu itakuwa sheria ya aina gani?
Hicho ndio kinachonishangaza mkuu..Ya nini kujichosha wakati tume ya uchaguzi ni Yao!!
Mimi nadhani sheria hii itafanya kazi kwa wengi na sio Lisu tu.Nikisema huyo ni nduli na dikteta NISIPIGWE BAN hayo si matusi bali ni ukweli husika wa tabia ya huyo dikteta kutunga sheria za kujirahisishia kupora uchaguzi.
Anahofia Lissu the GREAT kusimama naye hivyo anafanya udikteta ili bunge DHAIFU lipitishe huo muswaada wa kidikteta.
Lissu the Great hakupenda kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili bali ni huyo MUUAJI ndiye sababu ya Lissu kufanya hivyo.
Huyo nduli ana chuki na roho mbaya za kutisha. Bunge kaligeuza liwe Bunge lake ili alitumie kufanya uhuni wake.
Membe????Hapo kuna mtu anaogopwa sana wanamtafutia pa kumkamatia
80% walikataa, 20% walikubali multipartism akiwepo MWL Nyerere ndiyo maana hao wachache wakasikilizwa.Kinachopelekea serikali isipeleke muswada wa kuufuta upinzani ni kwa sababu ya wahisani tu (Mabeberu)
Historia yenyewe inaonesha watu waliikataa multiparty ila upepo wa Mabeberu ikabidi wachache wape itumike.
Ni kweli lakini wajaribu kuuliza Leo tens kwenye kura za maoni watu watasemaje?80% walikataa, 20% walikubali multipartism akiwepo MWL Nyerere ndiyo maana hao wachache wakasikilizwa.
Mimi nadhani sheria hii itafanya kazi kwa wengi na sio Lisu tu.
Wapinzani kwa jipya moyo ,nakumbuka baada ya kipigo cha October 2015 mliampa hamuendi kupiga kura tena ,sasa hii nguvu ya Azam energy mmeitoa wapiWana wasiwasi gani na Lisu hata kama akishinda watampora ushindi....
Hii sheria inaweza kuwa nzuri kama itakuwa haina lengo ovu. Hata mimi sioni ni vizuri mtu aliyekuwa anaishi nje ya nchi kwa miaka miwili arudi kugombea. Ila tuwe na tahadhari, kusafiri kusiwe kikwazo na hata kukaa muda mrefu kwa ajili ya matibabu isiwe kikwazo. Na tusiishie kwenye urais tu bali kwangu mimi ubunge ndiyo muhimu zaidi. Tuweke sheria kuwa mbunge ni lazima awe mkazi wa kudumu wa jimbo lake na asiwe anaishi sehemu nyingine. Familia yake pia iwe inaishi kwenye jimbo analoliwakilisha.
Kati ya CCM na Wapinzani nani anayehangaika?Wapinzani kwa jipya moyo ,nakumbuka baada ya kipigo cha October 2015 mliampa hamuendi kupiga kura tena ,sasa hii nguvu ya Azam energy mmeitoa wapi
Wee mkaliMimi nashauri wangetunga sheria mtu aliewahi kupigwa risasi zaidi ya kumi na hakufa asigombee.
Maana huyo hatakua binadamu wa kawaida.
Sheria huwa haiact kurudi nyuma, itaanza kuwa na effect tarehe na siku hiyo itakaposainiwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma, kwa hiyo wanajisumbua bure
Hamna bwana wanasema ni milioni mbili!
Kutunga sheria kwa ajili ya kundi la watu fulani kwa wakati fulani ni shida kubwa. Tuache ubinafsi tuenende for the good of our mother Tanzania not for sake jiwe. Kwani nchi lazima itawaliwe na jiwe?