Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Tetesi: Sheria ya uchaguzi kuwasilishwa Bungeni, Mgombea urais awe ameishi nchini mfululizo miaka miwili ili akidhi sifa ya Urais

Unauliza ' Bangi ' Arumeru?
Kwa hiyo principles of law zinatupiliwa mbali?
Maana principle za kisheria ni kwamba sheria huwa inaanza kufanya kazi mara baada ya kusainiwa na Mh.Rais,sasa hii itakayorudi nyuma ili kutekeleza malengo ya baadhi ya watu itakuwa sheria ya aina gani?
 
Umeambiwa uliza wadau wa mikopo watakwambia..
 
Kinachopelekea serikali isipeleke muswada wa kuufuta upinzani ni kwa sababu ya wahisani tu (Mabeberu)

Historia yenyewe inaonesha watu waliikataa multiparty ila upepo wa Mabeberu ikabidi wachache wape itumike.
 
Siku ikipitishwa hiyo sheria,ndipo itaanza kufanya kazi siku hiyo kwenda mbele,kwa waliokaa nje kabla sheria haijapitishwa wako save.
 
Nikisema huyo ni nduli na dikteta NISIPIGWE BAN hayo si matusi bali ni ukweli husika wa tabia ya huyo dikteta kutunga sheria za kujirahisishia kupora uchaguzi.

Anahofia Lissu the GREAT kusimama naye hivyo anafanya udikteta ili bunge DHAIFU lipitishe huo muswaada wa kidikteta.

Lissu the Great hakupenda kuwa nje ya nchi kwa miaka miwili bali ni huyo MUUAJI ndiye sababu ya Lissu kufanya hivyo.

Huyo nduli ana chuki na roho mbaya za kutisha. Bunge kaligeuza liwe Bunge lake ili alitumie kufanya uhuni wake.
Mimi nadhani sheria hii itafanya kazi kwa wengi na sio Lisu tu.
 
Non retrospective application of the Law! Wanakwama wapi hii Serikali?
 
Kinachopelekea serikali isipeleke muswada wa kuufuta upinzani ni kwa sababu ya wahisani tu (Mabeberu)

Historia yenyewe inaonesha watu waliikataa multiparty ila upepo wa Mabeberu ikabidi wachache wape itumike.
80% walikataa, 20% walikubali multipartism akiwepo MWL Nyerere ndiyo maana hao wachache wakasikilizwa.
 
Wana wasiwasi gani na Lisu hata kama akishinda watampora ushindi....
Wapinzani kwa jipya moyo ,nakumbuka baada ya kipigo cha October 2015 mliampa hamuendi kupiga kura tena ,sasa hii nguvu ya Azam energy mmeitoa wapi
 
Yaani watu ni wapumbavu kupitiliza, yaani unatunga sheria kwa ajili ya Lissu? Na kwa spika kibonzo tuliye naye na wapiga madawati wa ccm litapita. Tunaweka record kama taifa la kwanza kutunga sheria za ovyo ovyo katika ulimengu huu
 
Hii sheria inaweza kuwa nzuri kama itakuwa haina lengo ovu. Hata mimi sioni ni vizuri mtu aliyekuwa anaishi nje ya nchi kwa miaka miwili arudi kugombea. Ila tuwe na tahadhari, kusafiri kusiwe kikwazo na hata kukaa muda mrefu kwa ajili ya matibabu isiwe kikwazo. Na tusiishie kwenye urais tu bali kwangu mimi ubunge ndiyo muhimu zaidi. Tuweke sheria kuwa mbunge ni lazima awe mkazi wa kudumu wa jimbo lake na asiwe anaishi sehemu nyingine. Familia yake pia iwe inaishi kwenye jimbo analoliwakilisha.

Hiyo itakuwa sheria ya ovyo kama hii inayotaka kutungwa, ubunge tunampa mtu mwenye exposure, sasa nyote mnalima viazi mbatata nani atamwongoza mwenzie?
 
Wapinzani kwa jipya moyo ,nakumbuka baada ya kipigo cha October 2015 mliampa hamuendi kupiga kura tena ,sasa hii nguvu ya Azam energy mmeitoa wapi
Kati ya CCM na Wapinzani nani anayehangaika?

Mumebadili sheria za Vyama vya siasa, mkaona bado haitoshi na sasa mnakuja na hii tetesi tena..

NEC ni yenu, Polisi ni wenu, MaDED ni wenu. sasa mnamuogopa nani? Hadi muhangaike na haya yote?
 
Ni mwendelezo wa visasi. Hii ilitokea Ivory Coast. Laurent Gbagbo alitunga sheria ya aina hiyo kumzuia Ouatara kugombea. Ikazusha vita, watu wakafa. Baadae Ouatara akaingia madarakani. Gbagbo akafungwa... Tujifunze kutokana na historia. Hakuna kitu kibaya kama kumnyima mtu haki za kiraia - km vile kuchagua na kuchaguliwa.
Kutunga sheria kwa ajili ya kundi la watu fulani kwa wakati fulani ni shida kubwa. Tuache ubinafsi tuenende for the good of our mother Tanzania not for sake jiwe. Kwani nchi lazima itawaliwe na jiwe?
 
Back
Top Bottom