Mkuu ukisoma viena convetion nchi zote wanachama wa UN walisaini na wanapaswa kuifuataView attachment 9_1_1961.pdfSijui kwa sheria yetu lakini ubalozi hua unakua treated kama nchi yaani mfano ubalozi wa Kenya ukiwa Mwananyamala plot A hiyo plot inahesabiwa ni Kenya so mamlaka za Tz zinahitaji ruhusa kuoperate.
Niliwahi kusoma kesi moja ya ofisa mmoj wa ubalozi alimchoma moto mkewe ndani ya ubalozi na askari wa ile nchi wakabaki kuangalia as kuingilia ingekua ni kuanzisha ugomvi (Ni Malaysia au Thailand sikumbuki vizuri)
Pia kuna jamaa humu jf alielezea machafuko ya Rwanda yeye akiwa anafanya kazi ubalozini na akaelezea wenyeji walivyokua wanakimbilia ubalozini na waasi walikua wanachagua watu wao na kuwaacha wafanyakazi wa ubalozi.
So yeah pengine hata hakua ameingia ndani bado
Kwani alipokamatiwa nje ya jengo,ambalo ndani kuna balozi zaidi ya 3. Specifically ni ubalozi gani una claim kuwa kakamatiwa kwenye ofisi yake? Otherwise kama haipo basi ni ndani ya nchi yetu na Vienna CONVENTION on DIPLOMATIC relations haita apply bali sheria yetu ya ndani criminal procedure act itatumika bila shida yoyoteSijui kwa sheria yetu lakini ubalozi hua unakua treated kama nchi yaani mfano ubalozi wa Kenya ukiwa Mwananyamala plot A hiyo plot inahesabiwa ni Kenya so mamlaka za Tz zinahitaji ruhusa kuoperate.
Niliwahi kusoma kesi moja ya ofisa mmoj wa ubalozi alimchoma moto mkewe ndani ya ubalozi na askari wa ile nchi wakabaki kuangalia as kuingilia ingekua ni kuanzisha ugomvi (Ni Malaysia au Thailand sikumbuki vizuri)
Pia kuna jamaa humu jf alielezea machafuko ya Rwanda yeye akiwa anafanya kazi ubalozini na akaelezea wenyeji walivyokua wanakimbilia ubalozini na waasi walikua wanachagua watu wao na kuwaacha wafanyakazi wa ubalozi.
So yeah pengine hata hakua ameingia ndani bado
Nawaangalia Halafu Nasema Hii BhaghoshaaToa ufafanuzi mkuu,
Tumetangaza vita na Ujerumani.
Tusubiri majibu tu.
Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.
Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande mbalimbali.
Hata kule Twitter nimeona reaction ya juu sana juu ya jambo hili.
Any way tusubiri tushuhudie yafuatayo.
Ndiyo maana nimesema pengine hakua kaingia ndani badoKwani alipokamatiwa nje ya jengo,ambalo ndani kuna balozi zaidi ya 3. Specifically ni ubalozi gani una claim kuwa kakamatiwa kwenye ofisi yake? Otherwise kama haipo basi ni ndani ya nchi yetu na Vienna CONVENTION on DIPLOMATIC relations haita apply bali sheria yetu ya ndani criminal procedure act itatumika bila shida yoyote
Mawazo ya kizuzu kbs! Hivi unajua ardhi ya ubalozini unatambulika kama ardhi ya nchi ya ubalozi huo?Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Asante mkuuUnaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?
Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?
Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?
Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?
Diplomatic premises
It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".
Ila watamkamata tena akiwa eneo stahiki. Subirini. Mark my words.Ndio maana wamemwachia haraka, maana wanajua kinachofuata
Dah, bad lucky sperm.. I feel very sad for the one lost his time to ejaculate it!
Kuvamia ubalozi wa nchi nyengine ni Sawa na Kuvamia nchi yaoSheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Mkuu uliza weledi wakusaidie ficha ujinga wako hata kwa dakika mojaSheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Mkuu usitumie nguvu kumwelimisha mjinga mwacheUnaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?
Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?
Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?
Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?
Diplomatic premises
It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".
Ubalozi ni ardhi ya nchi yenye ubalozi.Toa ufafanuzi mkuu,
Bro umekuwa over-intellectual kwa mtu ambaye hastahili na hamudu kuelewa haya madude hapa.Unaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?
Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?
Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?
Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?
Diplomatic premises
It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".
Naona ngono ndio umeona cha kuipa heshima mpaka kuitaja. Ofisi ya Ubalozi wa nchi unachukuliwa kama sehemu ya nchi husika, ndio utaratibu wa mahusiano ya kimataifa.Sheria gani, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Kwakua sisi ni nchi huru unaonaje tuwatimue mabalozi wote nchini mwetu na wale mabalozi wetu walioko mataifa mbalimbali tuwarejeshe nyumbani haraka sana? Unaonaje hilo?Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono