Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

Acheni upotoshaji, sheria inakataza polisi kukamata mtu akishaingia ndani ya ubalozi na si vinginevyo.
Kama Tundu Lissu angekuwa ameingia ndani ya ubalozi na polisi wakamkamata wangechukuliwa hatua kwani ukishaingia ubalozini umeingia taifa jingine lakini sivyo kama mtoa mada unavyopotosha.
 
Tulieni sindano iingie vizuri
 
Chadema bana..mnajitekenya na kucheka wenyewe...jamaa yenu alikua anatafuta kick bila kusoma alama za nyakati....kwanini Trump asikimbilie ubalozi wa Tz kesho kutwa..ah ah lazima taratibu zifuatwe na balozi apate go ahead toka nchini kwake...US na Germany wote wakamkataa....kwani hii ni internal sovereignty na Magufuri ni Rais anayetambulika...na acheni upumbavu...nje ni Bado ardhi ya Tanzania shwain
Sasa akajieleze kwanini anapindua ncbi...Asange mwenyewe walimchoka
 

Ina maana hakuweza muona balozi?
 
Eneo LA kusubiria wageni kuingia ndani ya ubalozi ni sehemu ya ubalozi....
 
Watu wengi hawajawahi kusoma kuhusu Vienna convention kuhusu accredited ambassador na mission office zao. Hakuachiwa kwa sababu walitaka bali kosa la kiufundi la kumkamatia sehemu ambayo hawana jurisdiction nayo except for some criminal cases with the approval of his Excellency the ambassador
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tuache ujinga watanzania tusiwaamini hawa wanasiasa wanaonunulika
 
Reactions: 30P
Pia tujue sheria inasema nini juu ya maandamano yasiyo na kibali?

Lissu lazima tumfunge miaka kadhaa jera akitoka atakua amenyoka subiri kesi zake zianze kusikilizwa tena na atajuta kurudi tz.
 
Reactions: 30P
Acha uongo, Assange alikuwa ndani na siyo nje ya ubalozi. Hata hivyo alinyofolewa huko na sasa anashitakiwa.
 
Exactly. Polisi kuingia ubalozini kwa lengo la kumkamata mtu ni sawa na kuivamia nchi husika. Wamekosea na ndiyo maana wamemwachia bila masharti yoyote ndani ya muda mfupi sana.
Unajiuliza swa;li na kujijibu! Huyo alikamatwa nje na siyo ndani. Baada ya kuchukuwa nyaraka zake za uongo wakamuachia.
 
Kwa hiyo unawadharau police kwa sababu umesoma! Kweli wewe unashindwa na mimi wa darasa la nane la zamani!
 
Pilipili usioila yakuwashia nini? Kama ni kosa wapo wahusika ambao ni Ujeremani, sasa nyie wajuaji mnajitia mnajuwa zaidi kuliko ubalozi. Kwani Ujeremani hawajui kilichotokea na kimetokea vipi. Kama wanajuwa tutawasikia nyie acheni kuchonga midomo. Kura mmekosa na kula mmekosa.
 
Ushabiki mwingi mpaka watu wanajitoa fahamu ya tofauti ya ndani na nje.
 
Acha uongo, Assange alikuwa ndani na siyo nje ya ubalozi. Hata hivyo alinyofolewa huko na sasa anashitakiwa.
Kwani wapi nimesema Assange alikuwa nje?

Umefuatilia mjadala au umerukia tu?
 
Unajiuliza swa;li na kujijibu! Huyo alikamatwa nje na siyo ndani. Baada ya kuchukuwa nyaraka zake za uongo wakamuachia.
Unatumia nguvu nyingi kutetea ujinga sijui kwa manufaa ya nani. Watu tunaojua hili tukio zima hata kabla ya kutokea tunakucheki tuu unavyobwabwaja.
 
Hakukamatwa ndani ya jengo LA ubalozi sheria inakataza kukamatwa ndani ya ubalozi na sio nje Kama alivyokutwa huyu bwana hivyo polisi hawakuwa na Kosa Bali wametimiza wakiku wao na hapo unakamatwa Kama muhalifu mwengine yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…