bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
Basi wangesema ubalozi wa ujerumani chini ujerumani na wasituambie ubalozi wa ujerumani chini Tanzania wanamiliki Vipi ARDHI yetu wakati tunao uwezo wa kufukuza ubarozi wao muda wowote na wakafungasha virago..?Madhara ya elimu bure,hujui ubalozi ni ardhi ya nchi ya ubalozi huo? Nenda shule
Umeongea kwa masikitiko makubwa sana...hajui kama ubalozi ni nchi ndani ya nchi tena ni hatari sana kugusa hayo maeneo.
Wahalifu wote wakikimbilia kusimama mbele ya balozi hawatakamatwa? Hebu fafanuaHairuhusiwi kumshika mtu mbele ya balozi ndani ya nchi yako.
Kuna watu wanajifunza hapa.
Na pasi ya kusafiria pia, abaki hapa tucheze nae kisawasawaHawajamwachia bure. Walichukuwa mafurushi na video za kugushi alizokuwa anapeleka huko.
Wahalifu wote wakikimbilia kusimama mbele ya balozi hawatakamatwa? Hebu fafanua
Umeeleweka mkuuAchilia mbali kusimama mbele ya ubalozi, hata wakiingia ndani wanaweza kufikushwa mvele ya sheria. Kinachoongelewa hapa ni utaratibu wa kywakamata. Kuna mchakato wake.
Polisi hawawezi kwenda kupekua/ kuingia au kukamata mtu kwenye eneo la ubalozi wa nchi nyingine bila hizo taratibu walizojiwekea kimataifa kuzingatiwa.
Sio sahihi kufikiria ukifanya uhalifu suluhu na kukwepa sheria ni kukimbilia ubalozini, itachelewesha mchakato lakini haukwepi au kukingwa na hukumu.
Kwa ufahamu wako wa maswali na majibu upo sahihi. Labda tu kwa kukusaidia hizo nyaraka za uongo ulishazithbiitisha?Unajiuliza swa;li na kujijibu! Huyo alikamatwa nje na siyo ndani. Baada ya kuchukuwa nyaraka zake za uongo wakamuachia.
Akiwaje nje ya ubalozi hapo bado ni TZ mkuu jitahidini kujifunza mambo kabla ya kutoa lawama tu. Malalamiko FC!Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.
Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande mbalimbali.
Hata kule Twitter nimeona reaction ya juu sana juu ya jambo hili.
Any way tusubiri tushuhudie yafuatayo.
Toa hoja mkuu. Ubalozi mpaka uwe ndani siyo pale nje kwenye lile jesho la Umoja wa EU. Jitahidi kujifunza ili uelewe. Poleni Malalamiko FCBora kuficha ujinga wako kuliko kujinadi hadharani ulivyo mjinga.
Umesoma ukaelewa pointi yangu au umetoka kwenye siku zako unatafuta bwana.Pilipili usioila yakuwashia nini? Kama ni kosa wapo wahusika ambao ni Ujeremani, sasa nyie wajuaji mnajitia mnajuwa zaidi kuliko ubalozi. Kwani Ujeremani hawajui kilichotokea na kimetokea vipi. Kama wanajuwa tutawasikia nyie acheni kuchonga midomo. Kura mmekosa na kula mmekosa.
Upo sahihi . JF ni darasa tosha kwa wale walio makini. Tatizo ni pale ufahamu wa mtu katika jambo husika unapopambanishwa na ushabiki wa kiitikadi. Hapo lazima kiswahili kigeuke kichina.Kaka sio kila mtu ana mtazamo pevu na ukomavu kama wewe. Unaangalia jambo kwa maslahi mapana, haufungwi kwenye kupambana na unaemjibu, watu wengi wanafuatilia mjadala na wataona tofauti na kupata shule ambayo inaweza kuwasaidia sana mbeleni.
Kwa kuwaongezea tu, hata mfanyakazi wa kigeni/ ubalozi mwenye hashi ya diplomat akuwa kwenye majukumu yake analindwa na makubaliano ya mkataba wa Vienna.
Nje ya Jengo la Umoja wa EU siyo ubalozini hapo unaweza kukamatwa tu bado ni TZ hiyo hadi uingie ofisini ama kwenye makazi ya balozi siyo getini. Tatizo la Malalamiko FC wanajidai wanajua kila kitu kumbe ni mbumbumbu wa karne ya 21.Acheni upotoshaji, sheria inakataza polisi kukamata mtu akishaingia ndani ya ubalozi na si vinginevyo.
Kama Tundu Lissu angekuwa ameingia ndani ya ubalozi na polisi wakamkamata wangechukuliwa hatua kwani ukishaingia ubalozini umeingia taifa jingine lakini sivyo kama mtoa mada unavyopotosha.
Ubalozi ndo unamficha mharifu anayetaka kulipua petrol station! Na akamatwe tu.Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.
Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande mbalimbali.
Hata kule Twitter nimeona reaction ya juu sana juu ya jambo hili.
Any way tusubiri tushuhudie yafuatayo.
Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Iko wapi ile CCM yetu ya zamani mahiri kwenye kujenga hoja sio hawa wa mambo ya kihuni. Inaaibisha turudishe watu wenye akili wapambane kwa nidhamuSheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Umeandika kwa mihemko sanaSheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
ukiwa nje ya ubalozi ni bado hujaingia kwenye himaya ya ubaloziKiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.