Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?


kwani ubarozi mipaka yake si inaishia kwenye fence husika ya jengo husika au ni vipi???
 
Nje ya Jengo la Umoja wa EU siyo ubalozini hapo unaweza kukamatwa tu bado ni TZ hiyo hadi uingie ofisini ama kwenye makazi ya balozi siyo getini. Tatizo la Malalamiko FC wanajidai wanajua kila kitu kumbe ni mbumbumbu wa karne ya 21.

shida ya member wengi humu wanajikuta wanajua sana,kumbe hawajui kila kitu.

polisi wa tz wengi hawajaenda shule lakini hawawezi kuwa wajinga wote kwa wakati mmoja,tena mbele ya lissu.

ukitaka kubaini kwa vitendo,nenda barozi yoyote hapa nchini,kasimame getini uone itachukua mida gani kufukuzwa,achia mbali kuja kubebwa na polisi.hiyo sheria wanayosema ya kutokamatwa kwa kinga ya ubarozi sio,mhusika kuvamia ubarozi.
 
Na wengi wamelipwa vihela hivi vya uchaguzi basi imekuwa tabu. Tutafika Tu hali ikizidi hivi hakutakuwa na haja ya kuhamasishana kila MTU ataingia Barabarani mwenyewe.
 
Madhara ya elimu bure,hujui ubalozi ni ardhi ya nchi ya ubalozi huo? Nenda shule
Yaani kwenye siasa, dini na mapenzi, kuna watu wanaacha akili zao pembeni na kutanguliza mihemko yao...yaani huyo jamaa uliemjibu ni bure kabisa yaani kwa kuwa ubalozi upo nchini basi anajua unaweza kufanya lolote.
 
Alafu ajabu hajarudi hata kuomba msamaha na kutoa shukrani kwa elimu hii uliyotoa, kuna watu ni mashabiki wa vyama vya siasa mpaka akili yao wameiweka likizo kufikiri
 
Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono

Ficha upumbavu wako!

Ofisi ya ubalozi ina kinga za sheria za Kimataifa.

Huwezi kuingia pale bila kufata masharti. Kuvamia ubalozi ni Kama umevaimia nchi
 
Lissu ameachiwa au bado?
 
Sensing defeat, the incumbent president Donald Trump has already indicated that he won't accept the results which he claims have alot of irregularities.


According to citizen TV, Trump is planning to go to the supreme Court to seek justice and besides, he wants vote counting to stop because his votes are being stolen
 
diplomatically ni kosa sidhani kama walishindwa kumpata kama walimuhitaji huyo bwana mpaka kumuarrest kwenye ubalozi? ni jambo la aibu
 
Kwani kukamatwa nje ya ubalozi ni kosa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…