Kiswahili ulisomea wapi? Kusahau na uzembe ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.
Una kejeli kama sio mtu wa MUNGU jaman...au sometimes yes sometimes noPole sana kama baba yako ni shetani.
Kwa hiyo aliyekufanya usahau pochi ni shetani au Mungu?Watu tukiwaambia msome Biblia mnasema ni kitabu kilichotungwa na watu.
Soma Luka 22:3. Imeandikwa hivi:
"Shetani akamwingia Yuda, aitwaye Iskarioti..."
Baada ya shetani kumwingia Yuda, Yuda alipata ujasiri wa kumsaliti Yesu. Mtu wa kawaida hana ujasiri wa kuvunja nyumba na kuiba - ni mpaka aingiwe na shetani au mapepo yake. Shetani ni mwizi. Tabia hiyo ya wizi ndiyo anayowawekea wale anaowaingia! Wanaendeleza kazi zake mbovu.
Unajua maana ya kejeli au umeandika tu.Una kejeli kama sio mtu wa MUNGU jaman...au sometimes yes sometimes no
mbona dunia imejaa "waombaji" wenye shida?Nani amekuambia kwamba Mungu anawapa wengine shida.
Yesu amesema ombeni lolote mtapewa. Ukikaa kimya bila kuomba utabaki na shida zako
Kusahau ni tabia ya kawaida ya wanadamu. Ila kwakuwa Mungu ananipenda na anajishughulisha na mambo yangu, alinikumbusha mapema na akanipigania, mission ya shetani ya kutaka kunihuzunisha ikafeliKwa hiyo aliyekufanya usahau pochi ni shetani au Mungu?
Hiyo tabia ya kawaida. Umepewa na Mungu au shetani?Kusahau ni tabia ya kawaida ya wanadamu. Ila kwakuwa Mungu ananipenda na anajishughulisha na mambo yangu, alinikumbusha mapema na akanipigania, mission ya shetani ya kutaka kunihuzunisha ikafeli
wewe unavyo vyote viwiliKusahau na uzembe
😂😂😂😂Ni kweli hata mimi juzi shetani kaumbuka vibaya sanaa.. Nilikua naendesha gari niko spidi 180 na mbele yangu kuna makutano na taa nyekundu imewaka kuashiria nisimame. Basi mimi sikusimama nikanyoosha na hizo hizo spidi. Mungu mkubwa nilipita salama salmini wala hakuna gari iliyonigonga. Shetani akaumbuka maana alitaka nipate ajali.
Ndugu zangu, mara kwa mara nimekuwa nikiwasimulia humu mambo makuu anayonitendea Mungu maishani mwangu. Leo tena nawaletea ushuhuda wa kweli, kweli tupu, jinsi Mungu alivyoniwezesha kupata 'assets' zangu zilizokuwa zimeibwa na ajenti wa shetani(ibilisi).
Wewe na Mimi wote baba yetu ibilisi....umeridhikaUnajua maana ya kejeli au umeandika tu.
Aliyenena maneno haya ni mimi?
Yn 8:44 SUV
"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo..."