Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

Ndugu zangu hii ni mojawapo ya faida za kuokoka na kuishi na Yesu. Yesu alisema atakuwa pamoja nasi hata ukamilifu wa dahari(Mt 28:20). Yesu anapokuwa nasi, anatupatia baraka nyingi, pamoja na ulinzi na ushindi dhidi ya adui shetani. Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini(Zab 34:8). Haleluya!
Tuwaombee wanaosema Mungu hayupo na kukataa tamaa.Mungu yupo kwa wale wanotamani kumwona ndani ya mioyo yao
 

Audio Version: Vita ya Kiroho - Ushindi wa Mungu
Duh, kongole sana Mwl.RCT kwa Audio version tamuuuu.
AI imefikia level hiyo ya Kiswahili?! Basi hakika Yesu yuaja upesi.
 
Hii ni logical fallacy inaitwa "Ad hominem" kiufupi jibu swali uliloulizwa
Referring to your question as one that befits Mhandisi was not, in any rigorous sense, an ad hominem fallacy. I neither dismissed your question on the basis of who you are nor attacked your character. Rather, it was a light remark on the technical nature of the question—hardly an assault on reason. If we are to invoke logical fallacies, then let us be careful not to misapply the term ad hominem where no personal attack was made.
 
Wazee mmekunywa hivyo hivyo au wenzangu mlipewa vitumbua?
Duh, hakika siku ya mwisho itakuwa ya kulia na kusaga meno. Dalili za kuja kwa Yesu zimetimia karibu zote lakini watu bado tu wanawaza ulevi huku wakijua walevi hawataingia katika ufalme wa Mungu. Ni ajabu na kweli
 
Referring to your question as one that befits Mhandisi was not, in any rigorous sense, an ad hominem fallacy. I neither dismissed your question on the basis of who you are nor attacked your character. Rather, it was a light remark on the technical nature of the question—hardly an assault on reason. If we are to invoke logical fallacies, then let us be careful not to misapply the term ad hominem where no personal attack was made.
Naona unazunguka tu... Narudia

Hiyo tabia ya kusahau umepewa na Mungu au Shetani?
 
Wagalatia wanajua kubuni visa ilikusifia Jambo lao
 
Duh, hakika siku ya mwisho itakuwa ya kulia na kusaga meno. Dalili za kuja kwa Yesu zimetimia karibu zote lakini watu bado tu wanawaza tu ulevi huku wakijua walevi hawataingia katika ufalme wa Mungu. Ni ajabu na kweli
Duh, we have to check your IQ
 
Back
Top Bottom