Shetani ameaibika tena! Alituma mtu aibe 'assets' zangu zenye thamani ya dola 5000, amenaswa!

mungu anayekupa wewe $5,000 na mwingine anampa shida mpaka anakuwa mwizi ni mungu kweli?
 
Kiswahili ulisomea wapi? Kusahau na uzembe ni maneno mawili yenye maana tofauti kabisa.

Sikusoma kiswahili, samahani kama kiswahili changu kinakufanya umkumbuke x wako!
 
Kwa hiyo aliyekufanya usahau pochi ni shetani au Mungu?
 
Una kejeli kama sio mtu wa MUNGU jaman...au sometimes yes sometimes no
Unajua maana ya kejeli au umeandika tu.
Aliyenena maneno haya ni mimi?
Yn 8:44 SUV
"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo..."
 
Kwa hiyo aliyekufanya usahau pochi ni shetani au Mungu?
Kusahau ni tabia ya kawaida ya wanadamu. Ila kwakuwa Mungu ananipenda na anajishughulisha na mambo yangu, alinikumbusha mapema na akanipigania, mission ya shetani ya kutaka kunihuzunisha ikafeli
 
Kusahau ni tabia ya kawaida ya wanadamu. Ila kwakuwa Mungu ananipenda na anajishughulisha na mambo yangu, alinikumbusha mapema na akanipigania, mission ya shetani ya kutaka kunihuzunisha ikafeli
Hiyo tabia ya kawaida. Umepewa na Mungu au shetani?
 
mbona dunia imejaa "waombaji" wenye shida?
Issue sio kuomba tu. Lazima utimize vigezo na masharti ya kupata unayoyaomba. Unavuta bangi halafu unaomba Mungu akupe $5,000 unafikiri utapewa?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Audio Version: Vita ya Kiroho - Ushindi wa Mungu
Your browser is not able to play this audio.
 
Unajua maana ya kejeli au umeandika tu.
Aliyenena maneno haya ni mimi?
Yn 8:44 SUV
"Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo..."
Wewe na Mimi wote baba yetu ibilisi....umeridhika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…