Ninapoandika uzi wowote nazingatia sana Andiko hili:Chai ongeza sukariView attachment 3358379
Nilikuambia utaje hapa mahitaji yako nami nitakuombea.Amina mtumishi nataka niombewe na Mimi
Ndugu zangu hii ni mojawapo ya faida za kuokoka na kuishi na Yesu. Yesu alisema atakuwa pamoja nasi hata ukamilifu wa dahari(Mt 28:20). Yesu anapokuwa nasi, anatupatia baraka nyingi, pamoja na ulinzi na ushindi dhidi ya adui shetani. Nawasikitikia wanaosema eti Mungu hayupo. Onjeni mwone ya kuwa BWANA yu mwema; Heri mtu yule anayemtumaini(Zab 34:8).
Nataka nikuoeNilikuambia utaje hapa mahitaji yako nami nitakuombea.
Yesu anajua unayohitaji lakini anataka uyaseme.
Mk 10:51
"Yesu akamjibu, akamwambia, Wataka nikufanyie nini? Yule kipofu akamwambia, Mwalimu wangu, nataka nipate kuona."
Na wewe chagua fungu hilo kama bado hujafanya hivyo. Neno la Mungu ni tamu kuliko asali.Hongera Sana mkuu, umechagua fungu lililo jema!
Napenda, lkn mambo ya dunia yamenizonga, nakimbizana na maokoto!Na wewe chagua fungu hilo kama bado hujafanya hivyo. Neno la Mungu ni tamu kuliko asali.
Zaburi 119:103
"Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu, matamu kuliko asali katika kinywa changu!"
Shetani amepofusha akili za watu wengi na kuwafanya wasisome Biblia ili wakose "nondo" zilizomo kwenye Biblia.
2 Wakorintho 4:4
"...mungu wa dunia hii amepofusha akili za wasioamini, ili wasione nuru ya Injili ya utukufu wa Kristo, aliye sura ya Mungu."
Alitowa wapi mawazo maovu kiasi hiki ikiwa kule juu ni kusifu na kuabudu? Je kuna mahali aliona akatamani/kujifunza uasi?Shetani ni malaika aliyeasi dhidi ya Mungu kwa kiburi na uasi,
Siku hizi kuna Biblia mpaka za audio. Ukiwa kwenye gari lako unaweza kusikiliza Neno wakati una-drive. Hivyo kukimbizana na maokoto sio sababu ya msingi tena ya kutoweza kujifunza Neno la Mungu.Napenda, lkn mambo ya dunia yamenizonga, nakimbizana na maokoto!