Wewe endelea tu kuamini uongo wa shetani, hasara ni yako mwenyewe. Utaliwa pesa bure!Huna uwezo wa kumkemea shetani, ni vile unajifaragua hapo shetani ni malaika wakati wewe ni binadamu mko levo mbili tofauti
Utani wa ngumi huu kaka
Ukiachana na kuleta vifungu vya bible.Jamaa alikuuliza swali zuri tu.Wewe endelea tu kuamini uongo wa shetani, hasara ni yako mwenyewe. Utaliwa pesa bure!
Ukiokoka, Yesu anakupa uwezo au mamlaka ya kukanyaga nyoka(shetani) na nge(mapepo)
Luka 10:19
Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui[wachawi]; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru.
Yakobo 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Mathayo 10:8
Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
KING MIDAS huna wazazi? Kama huna wazazi, hukuenda shule ukafundishwa adabu? Kama hukuenda shule, kanisani kwako hawakufundishi umuhimu wa kuwaheshimu Wakuu?
Shetani anawadanganya msisome Biblia, matokeo yake mnakosa ufahamu.Shetani sio nyoka kwanza kuweka mambo sawa.
Asante Sana Mama Mchungaji. Mungu akufunike kwa mbawa zake kama kuku anavyowafunika vifaranga wake.Wewe shetani. Kwanini unawaonea watu? Watu wanateseka, hawana kazi, hawana pesa, maisha yamekuwa magumu. Wakitazama TV, wanakutana na habari za vita, mauaji, majanga na dhiki kila mahali. Badala ya kuwaachia hata pumzi kidogo, unawaongezea maumivu. Unawatupia mapepo yanayowatesa kwa magonjwa yasiyojulikana - magonjwa yanayowafanya walie usiku na mchana, magonjwa yanayowachosha na kuwafanya waanze kumtukana Mungu. Halafu unachekelea unapowaona wanalia kama watoto. 👉We-wee!
Mbaya zaidi unawadanganya! Unawaambia magonjwa hayo yatapona yenyewe kwa antibodies, wakati unajua kabisa kwamba antibodies haziwezi kupambana na mapepo! Unawaambia watulie, wasubiri miili yao ijiponye yenyewe. Badala ya kupona, hali zao zinazidi kuwa mbaya. Maumivu yanaongezeka, afya inadorora, na matumaini yanazimika.
Wanakimbilia hospitali, madaktari wanaanza kazi ya kupima. Wanatumia: Thermometer, Stethoscope, Sphygmomanometer, Pulse Oximeter, Hematology Analyzer, Blood Glucose Meter, ELISA Machine, PCR Machine, Urinalysis Analyzer, X-ray Machine, CT Scan, MRI, Ultrasound Machine, ECG, Echocardiogram, Spirometer, Peak Flow Meter, Otoscope, Laryngoscope, Nasal Endoscope, Ophthalmoscope, Slit Lamp, Tonometer... madaktari wanashangaa, duuh—vipimo havionyeshi ugonjwa wowote, lakini maumivu yapo, tena mazito! Wagonjwa wanaambiwa labda ni stress, labda ni mawazo, nendeni mkapumzike! Wagonjwa wanarudi nyumbani kwa huzuni, maana wanajua ndani yao kuna mzigo usio wa kawaida.
Wanakopa pesa, wanapanda "pipa" wanaenda "majuu." "Wathungu" wanatumia mitambo mikali zaidi kupima, lakini mambo ni yaleyale. Daktari anaandika: "No abnormality detected (NAD)!" Wanarudi "home" wamenyong'onyea, maana pesa imeliwa bila uponyaji!
Shetani unawapotosha tena, unawaelekeza kwa waganga wa kienyeji. Wanaenda, wanapewa masharti ya kuwafadhaisha zaidi. Eti wapeleke kuku na pesa. Wanapeleka, kisha wanapewa dawa za uongo na kuambiwa hizo dawa wakazimeze usiku makaburini. Maumivu yanazidi wanarudi tena kwa waganga, wanaambiwa eti wapeleke mbuzi na mavi ya tembo, watapata dawa kali zaidi! Waganga wanakula mbuzi bila jasho, wakati wagonjwa badala ya kupona, wanajikuta wakifungwa zaidi na minyororo yako shetani!
Magari ya matangazo yanapita mitaani yakitangaza: "Jamani Yesu anaponya buree. Waleteni wagonjwa mkutanoni, watapona kwa Jina la Yesu - bila chumvi wala mafuta feki ya upako..." Wagonjwa wanajipanga kuhudhuria mkutano. Unawadanganya tena. Unawaambia eti miujiza haipo, eti haiwezekani mtu kupona kwa maombi tu. Unawashawishi waone maombi ni ujinga, waone uponyaji wa Jina la Yesu kama hadithi tu!
Kwa Jina la Yesu Kristo, nakukemea! Acha kupotosha watu wa Mungu! Magonjwa yanayosababishwa na mapepo, hayawezi kuondoka kwa tiba za kibinadamu, hayawezi kupona kwa antibiotics, hayawezi kuponywa na miti shamba wala dawa za kisasa! Ni kwa Jina la Yesu pekee!
Shetani leo nimekufichua. Wewe ni mwongo! Ndiyo maana ulifukuzwa mbinguni; na leo nakufukuza! Toka hapa!
Kwa mamlaka niliyopewa na Yesu, nakuamuru shetani:
👉 Toka kwa Jina la Yesu. Toka na mapepo yako.
👉 Toka katika miili ya watu uliowaonea!
👉 Toka na roho zako chafu! Toka na magonjwa yako yote. Shindwa na ulegee.
Watu wote wanaoteswa na mapepo wawe huru sasa hivi, kwa Jina la Yesu Kristo. Amen!
======================
Almighty God, in accordance with Your divine proclamation in John 8:32, I give thanks, for this day, the truth has been unveiled to Your people, and by it, they have been set free. In the glorious Name of Jesus, Amen.
Ukweli usiopenda kusikia ni kuwa Yesu ni binadamu ila Shetani ni Malaika. Zaidi ya kunyanyua mdomo na kuongea huna uwezo wowote wa kumuonya shetani, kuponya wagonjwa wala kutoa pepo.Wewe endelea tu kuamini uongo wa shetani, hasara ni yako mwenyewe. Utaliwa pesa bure!
Ukiokoka, Yesu anakupa uwezo au mamlaka ya kukanyaga nyoka(shetani) na nge(mapepo)
Luka 10:19
Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui[wachawi]; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru.
Yakobo 4:7-10
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.
Mathayo 10:8
Ponyeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.
Huyo katengewa adhabu na siku yake yaja. We pambania nafsi yako isije adhibiwa pamoja naeMnaonaje tuungane kwa pamoja tumuombe Mungu amfutilie mbali shetani aache kutusumbua na asituzoee zoee😂😂
katumia chawa wakeShetani amefungua acc hadi JamiiForum
Umejuaje hatusomi biblia?Shetani anawadanganya msisome Biblia, matokeo yake mnakosa ufahamu.
Ufunuo 12:9
"Yule nyoka mkuu, yule joka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, adanganyaye ulimwengu wote, akatupwa chini; yeye na malaika zake wakatupwa pamoja naye."
2 Wakorintho 11:3-4
"... kama vile Hawa alivyodanganywa kwa ujanja wa yule nyoka, mawazo yenu yasije yakapotoshwa, mkauacha unyofu na usafi wa upendo wenu kwa Yesu."
Sawa sawa hajatoa namba za sadaka lknkatumia chawa wake
Ndio maana huwa sipendi kutumia bible verses kufanya clarification ya jambo lolote lile maana ni rahisi kupatia au kukosea pia.Shetani anawadanganya msisome Biblia, matokeo yake mnakosa ufahamu.
Ufunuo 12:9
"Yule nyoka mkuu, yule joka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, adanganyaye ulimwengu wote, akatupwa chini; yeye na malaika zake wakatupwa pamoja naye."
2 Wakorintho 11:3-4
"... kama vile Hawa alivyodanganywa kwa ujanja wa yule nyoka, mawazo yenu yasije yakapotoshwa, mkauacha unyofu na usafi wa upendo wenu kwa Yesu."
ukienda kwa mganga tunguli sadaka yako unamtumia kwa simu au unatumbukiza tunguliniSawa sawa hajatoa namba za sadaka lkn
Unamaanisha kwenda Bar?? Au kwa mganga??ukienda kwa mganga tunguli sadaka yako unamtumia kwa simu au unatumbukiza tungulini
Yesu amenipa uwezo au mamlaka ya kumkemea shetani, mapepo na wachawi. Nataja tu Jina la Yesu, yanakimbia.Wewe binadamu una uwezo gani wa kumkemea shetani ambae ni roho? Akikugeuzia kibai ni dakika sifuri
Waafrica tuna shida...Mungu awezi kua upande wa watu wajinga na wapumbavuWewe shetani. Kwanini unawaonea watu? Watu wanateseka, hawana kazi, hawana pesa, maisha yamekuwa magumu. Wakitazama TV, wanakutana na habari za vita, mauaji, majanga na dhiki kila mahali. Badala ya kuwaachia hata pumzi kidogo, unawaongezea maumivu. Unawatupia mapepo yanayowatesa kwa magonjwa yasiyojulikana - magonjwa yanayowafanya walie usiku na mchana, magonjwa yanayowachosha na kuwafanya waanze kumtukana Mungu. Halafu unachekelea unapowaona wanalia kama watoto. 👉We-wee!