Dallas green
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 1,821
- 3,625
Kukuoa je?Zaburi 121:2
"Msaada wangu unatoka kwa Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi."
Kukuoa je?Zaburi 121:2
"Msaada wangu unatoka kwa Bwana, Aliyezifanya mbingu na nchi."
Shetani ni nani? ShetaniMaombi ni silaha yetu kuu dhidi ya maovu, ila tusisahau Neno la Mungu linatuambia tumpinge shetani naye atatukimbia (Yakobo 4:7). Tukizivaa sila zote (Waefeso 6:11-18) za kiroho na kuishi maisha matakatifu, shetani hawezi kupata nafasi ya kutuzoeazoea.
Shetani ameishaandaliwa moto wa milele. Siku si nyingi atafutiliwa mbali.
"Kisha atawaambia na wale walioko mkono wake wa kushoto, Ondokeni kwangu, enyi mlio laaniwa, mwende katika moto wa milele aliowekewa tayari Ibilisi na malaika zake." (Mathayo 25:41)
Sijawahi kumuona shetani, na wewe thibitisha.Thibitisha
Kama ambavyo huwezi kuiona hewa ndivyo ambavyo huwezi kumuona shetani. Lakini si unajua hewa ipo kwa sababu unaona athari zake? Shetani ni kiumbe asiye na mwili. Ni roho, na kazi zake zinaonekana wazi kwa njia ya matendo maovu, udanganyifu, na uharibifu unaotokea ulimwenguni. Alikuwa malaika mkuu mbinguni lakini akakengeuka kwa kiburi na kutaka kuwa kama Mungu. Mungu akamfukuza mbinguni na kumtupa duniani pamoja na malaika wengine walioshirikiana naye kufanya uasi. Hawa ndio wanaitwa mapepo (Isaya 14:12-15, Ufunuo 12:7-9). Yesu alipokuja aliwapa wanafunzi wake mamlaka ya kukemea(kutoa) pepo kwa Jina la Yesu. Ukiokoka unapata pia uwezo huo wa kuyakemea mapepo ya shetani.Shetani ni nani? Shetani
Sawa"Mke mwenye busara mtu hupata kutoka kwa Bwana."(Mithali 19:14).
Yesu si Mungu wala sio Mwana wa Mungu Ila hivyo vyote Mmempachika.Sifa gani ambazo nimempachika Yesu hana
Yesu si Mungu wala sio Mwana wa Mungu Ila hivyo vyote Mmempachika.
Dismissive rhetoric like nonsense neither nullifies the veracity of demonic oppression nor diminishes the incontestable supremacy of Christ over them. Mere denial is impotent, but an authoritative decree in His name effectuates their expulsion.Nonsense.