Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Mwenyezi Mungu huyu huyu?Jiwe alikuwa na roho mbaya sana, na ndiyo maana Mwenyezi Mungu alimtwaa haraka haraka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyezi Mungu huyu huyu?Jiwe alikuwa na roho mbaya sana, na ndiyo maana Mwenyezi Mungu alimtwaa haraka haraka!
Kwani ulishahamia upinzani?Ayaseme wakati yupo hai! kwani hajipendi yeye?
Sote tuliufyata wakati wa "bwana yule".
Viongozi wa upinzani ni omba omba sana.
Freeman Mbowe pekee ndio tajiri.
Jamaa alikuwa anakusimanga hata wakati wakula,huoni hata mwili unakuja kwa retired 1 reeeedeJiwe alikuwa na roho mbaya sana, na ndiyo maana Mwenyezi Mungu alimtwaa haraka haraka!
Kiboko yake mheshimiwa Antpass mungway lisuIla jamaa lilikuwa kauzu[emoji1787][emoji1787] ukute hata kwa mademu lilikuwa halirembi "reta tigo kama hutaki kwenda"[emoji1787][emoji1787]
cc; Zitto R. Kabwe,Viongozi wa upinzani ni omba omba sana.
Freeman Mbowe pekee ndio tajiri.
Mbinguni hakuna kuniAongezewe kuni
Unajuwa kwamba Rais ana mfuko wake unaitwa consolidated fund? Na haukaguliwi na CAG?Kwa hilo hapana. Anaweza hata kutoa kwenye mshahara wake.
Ayaseme wakati yupo hai! kwani hajipendi yeye?
Sote tuliufyata wakati wa "bwana yule".
Hapana mkuu angesema tu hayati akiwa hai mashaka yangu ni kwamba isije kuwa marehemu anasingiziwa tu kwa sababu hana nafasi ya kukanushaUlitaka aseme magu akiwa hai ili amiminiwe mvua ya risasi kama lissu?
Mtu unamuona kabisa kakaa kinyamelanyamela ujitokeze tu useme.
Haiwezekani lazima uufyate tu.
Kwa aina ya marehemu tuliyekuwa nae, huenda ni ukweli.Hapana mkuu angesema tu hayati akiwa hai mashaka yangu ni kwamba isije kuwa marehemu anasingiziwa tu kwa sababu hana nafasi ya kukanusha
Angalau angekufa amesema ukweli kuliko kuongea sasa maneno mazito kama haya ambayo yangesaidia kuwafungua macho watanzania waliokuwa hawajui tuna rais wa namna gani. Kwa mfano ikiwa shibuda ndiye alienda kulia njaa akaambulia patupu nani atatusaidia kubalance hii habari?Ayaseme wakati yupo hai! kwani hajipendi yeye?
Sote tuliufyata wakati wa "bwana yule".
Mwanaume mtu mzima aina ya Shibuda unalilia mil 5 kweli. Huu ni ujuha.Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.
Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka kuchangia ada yao shilingi mil5
Shibuda akajibu asante lakini sijaridhishwa na namna unavyoendesha demokrasia katika utawala wako ndipo rais akasema sasa hata hiyo hela sikupi.
Kwa nini Shibuda hakuyasema haya Magufuli akiwa hai?
Ndo maana lissu kajipeleka kuombaomba kwa Amsterdam.Viongozi wa upinzani ni omba omba sana.
Freeman Mbowe pekee ndio tajiri.