Shibuda: Magufuli aliniahidi kunipa mil 5 nikalipe ada ya watoto lkn nilipompinga akanigeuka

Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.

Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka kuchangia ada yao shilingi mil5

Shibuda akajibu asante lakini sijaridhishwa na namna unavyoendesha demokrasia katika utawala wako ndipo rais akasema sasa hata hiyo hela sikupi.

Kwa nini Shibuda hakuyasema haya Magufuli akiwa hai?
Huyu Shibuda ni kama Antony Diallo tu, wanasiasa wa sampuli hii sio wa kuamini asilimia 💯, hawa ni wafanyabiashara wa siasa.
 
Rais hapaswi kuwa mtu wa matani sana.
Magufuli alikuwa mtu wa matani Sana kwa wale tuliyemzoea haitupi shida, tatizo linakuja kwa wale ambao siyo waelewa ukutute Rais alimtania yeye akayaweka moyoni hapa ndipo wabongo tunafail

Note; Kuna watu hawataniwi yaani kitu kidogo wanakikuza ila nimejifunza usiweke matani penye userios ila weka matani penye matani over
 
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.

Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka kuchangia ada yao shilingi mil5

Shibuda akajibu asante lakini sijaridhishwa na namna unavyoendesha demokrasia katika utawala wako ndipo rais akasema sasa hata hiyo hela sikupi.

Kwa nini Shibuda hakuyasema haya Magufuli akiwa hai?
Huyu mzee anajiaibisha tu
 
Namkumbuka Dialo alisema ccm walituwekea kiongozi waliyejua Ni kichaa....
 
Nadhani aliyediriki kuyasema wazi (Tundu Lissu), tuliona matokeo ya uwazi wake.
Umeona eeh? Ben mwana JF mwenzetu tukibishana nae sana kisiasa humu JF yuko wapi? Tuliogopa sana na tulikuwa na haki ya kuogopa. Nchi ilifikia mpaka mawaziri wanatolewa bastola hadharani na hakuna linalofanyika.

Miaka ya bwana yule ilikuwa migumu sana kwa kila Mtanzania na hata wageni waaliopo Tanzania, yaliwakumba. Hata waliokuwa wanamtetea walikuwa katika hali ngumu, wakijikaza kisabuni tu. Tumeyaona.
 
Akizungumza kwenye kongamano la kuenzi falsafa ya hayati Magufuli ya tanzania ya viwanda, ndugu Shibuda amesema siku moja alipata nafasi ya kumtembelea rais Magufuli ikulu.

Anasema siku hiyo Magufuli alimkaribisha ikulu na kumuuliza vipi watoto hawajambo? Akajibu hawajambo akamwambia nataka kuchangia ada yao shilingi mil5

Shibuda akajibu asante lakini sijaridhishwa na namna unavyoendesha demokrasia katika utawala wako ndipo rais akasema sasa hata hiyo hela sikupi.

Kwa nini Shibuda hakuyasema haya Magufuli akiwa hai?

Alikuwa Anasubiri Mda Mwafaka
 
Si unatuona tumerudi JF, ulituona wakati wa "bwana yule"? Tuliingia "mitini" wote.

Hata wafanya biashara wenye mitaji mikubwa waliihama nchi, lakini sasa wamerudi na AlhamduliLlah pesa zinazunguka tena mitaani. Huyajuwi hayo?
Usiseme wote,wabishi wachache tulibaki
 
Angalau angekufa amesema ukweli kuliko kuongea sasa maneno mazito kama haya ambayo yangesaidia kuwafungua macho watanzania waliokuwa hawajui tuna rais wa namna gani. Kwa mfano ikiwa shibuda ndiye alienda kulia njaa akaambulia patupu nani atatusaidia kubalance hii habari?
Ukipenda yakubali ukipenda yakatae. Tatizo nini?
 
Back
Top Bottom