Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

Kama uko mjini nitafute kuna lishangazi lenyewe lina Hela nyingi (billionea)yeye anachotaka ni kazi Moja tu Ile unayoifahamu
 
Njoo G4S
 
Ushauri wangu! Matatizo yoyote anayoapata mwanadamu Chanzo chake ni ROHONI! sasa tengeneza kwanza rohoni tafuta watumishi wa Mungu( Shekhe, wachungaji, Nabii ) uweze kupata uponyaji wa kiroho.
Alafu utaona mambo yanavyokwenda.
 
Asante sana brother
 
Sawa sawa Mkuu
Nimefanya hivyo nilimuona Mtumishi akaniombea nakazana Mkuu.

Siwezi kudharau nafasi ya Mungu katika maisha yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…