Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

Tunaambiwa wanaume inabidi tujikaze, tuwe strong ila mimi nimefikia mwisho kabisa wa uwezo wangu. NAOMBENI MSAADA WAKUU!
Mkuu hii ndio inatakiwa hujajitilisha huruma, umekuja kuomba kazi kwa hekima na adabu. Mungu akupe hitaji la moyo wako mimi sina cha kukusaidia. Nimependa nikupe moyo tu usikate tamaa.

Wengi tuko na situation mbaya usijione uko peke yako lakini hiyo isikufanye ubweteke endelea kupigania kombe mkuu.
 
Am glad 😊 for you.
 
Mleta mada kodi kitoroli pita mitaani kusanya chuma na mafriji chakavu uza kwa maajent wakubwa baada ya mwezi 1 utakuwa mbali sana. KIKUBWA USIONE AIBU TUU KUFANYA KAZI HIYO
 
Mshike mkono jamaa ,uwa sina kawaida ya kuwaamini watu wa jamvi hili hasa kwenye shida ila huyu bwana kazungumza mara moja nikajihisi kuna sauti inasema ni kweli anayo shida msaidie tafadhali nakuomba sana
 
Mi nilipo maliza chuo hakukuwa na ajira nikaenda soma fani nyingine namaliza kurudi kitaa hali ngumu kwelikweli nikaenda soma tena kitu kingine lakini baada ya kuona kila nilichosomea kujiari ngumu kipindi hiko lazima uajiriwe nikfanya maamuzi. Ya kulima bustani na kukodi mikokoteni nami nawapa watu wana kusanya mizigo nalipwa kwa route nika tengeneza mtaji na kipato kikubwa . Hakika ukijituma na ukiwa mbunifu HUFI NJAA WALA HUTA LALAMIKA
 
Mshike mkono jamaa ,uwa sina kawaida ya kuwaamini watu wa jamvi hili hasa kwenye shida ila huyu bwana kazungumza mara moja nikajihisi kuna sauti inasema ni kweli anayo shida msaidie tafadhali nakuomba sana
Najaribu kufanya hivyo, ngoja tuone nita ishia wapi.
 
Salute kwa hao washikaji wasomi wanapambania ya hela yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…